kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JWTZ badilikeni, Ulinzi wa miaka hii ni wa kutumia akili siyo maguvu ya kubeba kilo 70

    Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi. Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns...
  2. Z

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  3. ChoiceVariable

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  4. JanguKamaJangu

    Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  5. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  6. covid 19

    Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  7. M

    Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
  8. BARD AI

    Umewahi kupata Madhara gani kwa kutumia Dawa ulizopewa Hospitali

    Wadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake zinapelekea Ugonjwa kuongezeka au kupata tatizo lingine zaidi
  9. Suley2019

    Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema haipo tayari kutumia uraia pacha ila hivi karibuni itaanza kutumia utaratibu wa hadhi maalum ambao utatoa fursa kwa wenye asili ya Tanzania waliopo nje kuchangia nchi yao. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo...
  10. Damaso

    MWAUWASA acheni kutumia mo Mirongo kupeleka maji machafu Ziwani.

    Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu wanaoutumia kwa shughuli mbalimbali. Hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa shughuli za binadamu ikiwemo...
  11. Edger Ezekiel

    Kuna utapeli wa mtandaoni unautumia jina la UNICEF

    Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF. Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
  12. BARD AI

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo...
  13. Uzalendo wa Kitanzania

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    #LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Mnachoropoka ni nini? Ninyi ndio hamjui kutumia madaraka yenu vizuri Makonda ni kiongozi anayejua kutumia madaraka yake vizuri

    Huwezi kutumia madaraka yako vizuri kama hujui kwanini umewekwa hapo. Makonda ni kiongozi anayejielewa hajui unafiki. Anasema jambo kwaajili ya kusaidia jamii yake. Yupo kwaajili ya jamii na ndio maana anapendwa na watu. Ukitaka nawewe kupendwa jitoe fanya mambo kwaajili ya jamii yako...
  15. covid 19

    Eid ya mwaka huu mwezi tutaangalia kwa kutumia VAR tumechoka kufungishwa siku ya Eid

    Habari ziwafikie BAKWATA mwaka huu ngoma lazima itazamwe kwa VAT kama umeandama au la! Haiwezekeni kila mwaka tunafungishwa siku za eid hili lifike mwisho.
  16. Kigoma Region Tanzania

    Dotto Magari nakuonya, koma kabisa kutumia neno Ukimbizi kwa watu wa Kigoma usirudia tena

    DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua. Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu...
  17. Kigoma Region Tanzania

    Dotto Magari acha kabisa kutumia neno Ukimbizi kwa watu wa Kigoma

    DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua. Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu...
  18. Kirchhoff

    Smart TV yenye DVB T2/S2 Ina Faida gani Kwa Soko la Tanzania ikiwa Channels zimezuiliwa kuonekana kwa kutumia builtin Decorder? Wizara Husika?

    Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali. Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
Back
Top Bottom