Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

spectreDoc

New Member
Feb 25, 2024
1
0
Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara.

Barabara tunaipenda ila ni walipe fidia waathirika wa bomoa bomoa ilihaki itendeke na sio kutumia sheria vibaya.

IMG_6585.jpeg
 
Back
Top Bottom