msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. McMahoon

  Msaada: Aina za sub meter (Unit counter)

  Naomba kujua aina za sub meter na bei zake. Nilimuuliza jamaa mmoja hivi, akadai kuna submeter aina moja tu inayohesabu tu na haina button Ktk kugoogle naambiwa zipo za button Je, hizo za button zinapatikana, na wapi naweza kupata? Na bei yake ikoje?
 2. sungura23

  Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

  Habari wakuu? Natumaini wote ni wazima. Wakuu naomba kwa mwenye kufahamu taratibu za kukomboa (to claim) mafao ya NSSF iwapo mtu ulikuwa unafanya kazi na mwajiri alikuwa akipeleka michango. Mwaka 2017 hadi 2019 nilipata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya masuala ya hospitality. Mwajiri...
 3. Kifaru TANZANIAN

  Msaada

  Naomba kujua vitabu vya advanced history 1,2 geography 1,2 vinavyotumika kutunga mitiani ya national
 4. D

  Msaada: King'amuzi changu cha Azam kimegoma

  Habari za wakati wana jamii forum, king'amuzi changu cha azam ghafla kimegoma kuonesha ili hali kila kitu kiko sawa kwa maana nkifunga kingine kina fanya kazi vizuri tu je shida inaweza kua nini hapo?
 5. Majan

  Msaada matibabu ya Apendex

  Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
 6. N

  Msaada kwenye tuta: Matumizi ya kifaa kinachoitwa dehumidifier kwa hapa bongo ni yapi?

  Pamoja wakuu, naomba kufahamishwa matumizi ya dehumidifier kwa hapa bongo na kama kuna maduka yanaziuza na soko lake linakuwa linalenga watumiaji wa aina gani. Nawasilisha.
 7. D

  Atakayeguswa, nahitaji kumshauri kijana wangu

  Kwa yeyote atakayeguswa nahitaji kumshauri kijana wangu lakini sina upeo wa nini achague ni kwamba amechaguliwa vyuo viwili course ya kwanza ni Gender and Development na chuo kingine course ni Bsc in History naomba mnisaidie ipi at least in uwanja mpana wa ajira hapo baadae
 8. P

  Admission third around msaada

  Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
 9. B

  Msaada wa instagram

  Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu... Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini.. Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz #forgive me.
 10. Waterbender

  Namba yangu ya nida haipatikani mtandaoni

  HABARINI. Namba yangu ya nida AU national identity number NIN nikijaza sehem zinazo ihitaji au kupata nakala ya kitambulisho hicho nambiwa namba hiyo haipo wakati mwanzo nilikiwa natumia hata kwa kuhakiki lain ya kwa usajili wa vidole vodacom. Kama kuna anae jua au ishauri nini nifanye...
 11. ngotho

  Msaada juu ya chuo kikuu cha ardhi

  Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo. Wahusika tunaomba mtusaidie.
 12. M

  Msaada wa Dawa nzuri ya matonsi na kikohozi

  Habari za kazi wakuu nilikua nasumbuliwa na Matonsi na kikohozi...nilikua naomba msaada wa dawa nzuri ya kutumia
 13. zink

  Nisome ipi kati ya Diploma ya Famasia na Bsc ICT

  Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa UDOM - Diploma in pharmacy OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri
 14. LUKAMA

  Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

  Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini. Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine...
 15. Kibosho1

  Anaejua kiwanda cha kununua pembe za ng'ombe kiko wapi msaada tafadhali

  Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
 16. Vincenzo Cassano

  Msaada: Simu haina option ya kusign in kwa google account

  Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari. Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la Samsung alilolidownload mtandaoni. Shida imekuja kwamba tangu simu ipigwe lile file siwezi kusign in...
 17. A

  Unaonaje kama ukiwa unazungushwa namna hii? Bora ukaambiwa ukweli

  Inakuwaje!? Mtu unamfata pm kwa jambo flani bwana kaka/dada Mkuu bwana naomba unisaidie jambo flani hivi na vile, anakubali basi anakwambia fanya kama ulivyosema Kimbembe kinakuja baada ya kukupa go ahead unaona kimya kizito kila unapojaribu kumkumbusha labda unasema itakuwa kabanwa na majukumu...
 18. Ndikwega

  Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

  Salaam! Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki. Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka. Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
 19. Zero Competition

  Msaada kwa aliewahi kufaulu Uptitude Test ya Alistair Company Ltd

  Habari za muda huu Kama wiki imepita nilifanya Aptitude test ya Alistair Company sasa juzi wamenitumia majibu yangu kwamba nimefaulu Kuna mtu hapa alishawahi kufaulu hii test yao ? Na je baada ya kufaulu nini kilifuata ? Mana mimi wameniambia kwamba timu yao ya kuajiri ina screen Cv yangu ila...
 20. majid salim dossa

  Simu inanisumbua Camera

  Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
Top Bottom