mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Tunajitahidi kujenga viwanja vya mpira (Afcon) lakini timu yetu bado mbovu.

    Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027? sina mengi ya kusema.
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

    Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma. Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barabara mbovu si mali ya CCM

    .
  6. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu kwamba bongo customer care ni mbovu sana pakiongozwa na kule visiwani.!!

    Nishakubaliana na hali ya nchi yetu kwenye upande wa customer service ila hii ya mtu kunihudumia huku anaongea na simu very relaxed aisee huwa natamani nimrukie nimpige vichwa af niondoke zangu Kule Unguja sitaki kupaongelea maana panatia hasira Hii nchi tulimkosea nini Mungu?
  7. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO

    Lete laptop mbovu nanunua. Bei maelewano Ilala - Dsm 0666761542
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

    Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma Mbovu Shule ya Wasichana ya Dr. Tulia Mbeya

    Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
  11. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nanunua laptop mbovu na mzima

    maelewano. Inategemea na Model Ubovu Specs Tupi ilala - Dsm 0666761542
  12. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Huduma katika Hospitali ya Bugando, kitengo cha macho

    Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko kitengo chochote. Leo ni wiki ya pili nampeleka ndugu yangu ila Dkt. Anatakiwa kuingia Saa mbili imagine...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Chuo cha SUA kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za Wanafunzi

    Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa kozi, ulipaji ada nk. Utaratibu uliopo ni kwamba Mwanafunzi hawezi ingia kwenye mfumo huo akiwa nje...
  14. jT0078

    JamiiForums Tanzania TUNANUNUA LAPTOP/DESKTOP MBOVU

    Tunanunua Laptop/Desktop mbovu kama spare bei maelewano. Ilala - Dsm 0666761542
  15. L

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo,Katiba ya mbovu ya Sasa inasema,RAIS akifa ,makamu wa RAIS anatawala.

    Chemsha bongo. Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo. Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata. Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani? Mfano mwaka mmoja...
  16. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Barcelona usajili wa Gabriel Jesus mbovu

    Gabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne. Mechi-84 Magoli-21 Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida. Baada ya dili la Alvarez kuwa gumu kutoka atletico Madrid,kumekuwa na washambuliaji kama victor...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini mfumo wa risiti za kuhudumia Wateja unakuwa na muda tofauti wa kusubiri na uhalisia?

    Mfumo wa kupata namba ya foleni (kikaratasi) unapokwenda CRDB kupata huduma una changamoto. Unakuta mfumo unaonyesha muda wa kusubiri ni dakika 11, lakini unapata huduma baada ya zaidi ya saa moja. Hii ni kero kubwa kwa wateja. Karibu matawi yote ya CRDB yanaonekana kuwa na changamoto ya kasi...
  18. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO kwanini mnakuwa na huduma mbovu hivi? Mmetanguliza pesa kuliko huduma!

    TANESCO Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi langu ulianza tarehe 27/01/2026, ambapo niliwasilisha maombi ya kuunganishiwa umeme mara baada ya kuona...
  19. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Hata saa mbovu ipo wakati husema ukweli

    Tuwe na siku njema
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Nsongwi Juu - Mbeya Vijijini imekuwa na changamoto ya utawala mbovu

    Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika mpaka kwa Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya lakini hazitatuliwi, sasa hatujui shida ni nini...
Back
Top Bottom