Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.
Mhe. Peter Kisumo [marehemu] anajulikana kama Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuanzishwa kwake rasmi mwaka 1963.
Alifuatia baada ya kipindi cha mkoa huo kuwa sehemu ya Jimbo la Kaskazini chini ya Mhe. PC Edward Barongo (1961-1963). Kisumo aliongoza mkoa huo mpya.
Jukumu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa wakati umefika kwa urafiki wa muda mrefu wa zaidi ya miongo sita kati ya Tanzania na Serbia kutafsiriwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
Nikurejeshe mwaka 2010 ilikua balaza la Maulid kijana mmoja anafahamika kwa jina La Ibrahim aliweza kumfikia Raisi wa wakati huo na kumpiga kofi , sababu ilikua ni nini? Fuatilia video hapa chini .
https://www.facebook.com/reel/1724090805496548/?mibextid=9drbnH&s=yWDuG2&fs=e
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026.
Katika ziara hiyo ya heshima...
atembelea
banda
biashara
biashara ya kimataifa
dar
dar es salaam
dkt. hussein mwinyi
hussein mwinyi
katika
kimataifa
maonesho
mwinyi
rais
rais wa zanzibar
zanzibar
Barabara ya kurukia ndege haina konakona, Rais amesema atafuata nyayo za Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli, sasa kwanini hataki kufuata nyayo za watangulizi wa mwanzo yaani Ml. Nyerere na A.H. Mwinyi!
Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe.
Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu.
Lengo langu si...
all
faida za muungano wa tanzania
hisnis the
historia ya muungano wa tanzania
kero za muungano
kuhusu
kura
matatizo ya muungano wa tanzania
muungano
muungano wa tanganyika na zanzibar
mwinyi
raisi
tanganyika
tanganyika na zanzibar
tupige kura
umuhimu
uwepo
wazi
zanzibar
Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja...
DKT. MWINYI AIPONGEZA UVCCM KWA KUIPA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI MKUU 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi kubwa na ya...
Ndugu Wahusika,
Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka.
Hali hii imesababisha:
Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi
Uchafu unaoathiri...
Anonymous (67f4)
Thread
athari
barabara
dampo
kiafya
kugeuka
kusababisha
miguu
mwinyi
njia
takataka
watembea kwa miguu
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii?
Rais wa Zanzibari chukua hatua
Kwa hiyo sasa hivi watanganyika wakiwa na shida na Rais wamfate huko kwao zanzibari wakiwa nabarua za utambulisho kutoka Kwa wenyeviti wa mitaa?
Swali jingine, je matumizi ya statehouse ambazo ni chamwino na Dsm Sasa zipo MAALUMU kwa matukio TU?
Rais wa Tanganyika alipotua uwanja wa Amani...
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko.
Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia.
Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
1. Julius Nyerere
Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.