ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeota Kiongozi au mtoto wa kiongozi Fulani kupata ajali ya ndege.

    Hii ndoto imekuwa ikinijia sana mara nyingi kuwa kiongozi au familia ya kiongozi fulani ikiwa imepata ajali.
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asubuhi ya Majonzi Kenya - Watu 17 Wafariki Katika Ajali Salama Blackspot.

    Watu 17 wamefariki katika ajali mbaya iliyohusisha magari kadhaa eneo la Mlima Kiu, Salama, kwenye barabara kuu ya Nairobi–Mombasa, Kaunti ya Makueni, mapema Jumamosi, Oktoba 3, 2026. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya saa sita usiku, wakati lori lililokuwa likitoka Nairobi kuelekea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huyu susan mutami ni nani? Alitabili kuwa wicknell (bonge) atakufa katika ajali ya ndege na akaambia watu wa-save post yake huko x na imetokea kweli

    Jus a coincedence?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wicknel chivayo aifariki dunia kwa ajali ya helicopter 🚁

    Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo amefariki dunia leo Septemba 30, 2026 kwa ajali ya helikopta akiwa na mkewe Lucy “Lulu” Muteke pamoja na watu wengine wanne. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji nchini Zimbabwe, limemnukuu mwanafamilia Herbert Chivayo...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Bodaboda zaidi ya Elfu 7 kwa mwezi wanapata ajali na asilimia zaidi ya 68 awana leseni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kati ya bodaboda 7,000 hadi 8,000 hupata ajali na kufikishwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa ajili ya matibabu. Amesema wengi wa wanaofikishwa hospitalini hapo hawana bima wala leseni za udereva, huku takwimu zikionyesha...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Huu ndio Muarobaini wa Ajali za Barabarani - Kila Dereva Awe na Leseni, na Mfumo wa Pointi Uboreshwe, Uwe na Ufanisi.

    Ndugu zangu wa JamiiForums, Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kibada-Mwasonga ina ajali nyingi, iwekwe matuta, wanakimbia kama kwenye mashindano

    Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

    Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea. Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi nyingi zilizoanikwa na wife kwa chini bila Mimi kujua. Story ziliponoga mimi nikaegemea kiti...
  11. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Ajali Zinatumaliza Watanzania

    Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. 😔 Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika. Tuwe makini barabarani: 🚗 Epuka mwendo kasi. 📵...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kinyerezi asifu Serikali kwa msaada ajali ya Bahi

    Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Kinyerezi, Mchungaji Maotola Lumbe, amemshukuru Waziri Mkuu na Serikali kwa msaada walioutoa baada ya wanakwaya wa kanisa hilo kupata ajali eneo la Bahi, ikiwemo kuwezesha waliokuwa wakihitaji matibabu zaidi kusafirishwa hadi Dar es Salaam...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matuta yaliyowekwa na Wananchi eneo la Chang'ombe Makaburini ni hatari sana

    Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha. Je, mamlaka husika hazioni changamoto hii? Ni muhimu hatua zichukuliwe ili kuhakikisha matuta hayo yanawekwa...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Azam SC afariki kwa ajali ya boda boda

    Kipa wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (U20) ya Azam FC, Iddy Salim, amefariki dunia baada ya kupata ajali ya bodaboda. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Azam FC leo Ijumaa Septemba 11, 2026, kipa huyo alifariki dunia jana katika ajali hiyo. “Tunasikitika kutangaza kifo cha kipa...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ajali ni Ubovu wa Barabara!

    Haijawahi kutokea "mamlaka " ikasema chanzo cha ajali ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu. Mitaani na barabara kuu, TANROAD wanapata hela kutoka mafuta tunayoweka kwenye magari, yet hawazibi mashimo. Mitaani wanaweka bumps, lakini hawaweki alama, ajali za kupinduka. Madaraja membamba na...
  16. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ajali yatishia ndoto za bingwa wa olimpiki

    Bingwa wa Olimpiki wa mbio za kuruka mbali, Tara Davis amelazimika kusitisha msimu wake wa riadha wa mwaka 2026 kufuatia kupata mshtuko mkali wa ubongo uliosababishwa na ajali ya gari. Uamuzi huo unamaanisha kuwa mwanariadha huyo Mmarekani mwenye umri wa miaka 27, hatashiriki katika Mashindano...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Basi la Abood lagongana na IST wakati dereva 'aki-overtake', Watu wanne wafariki Dunia

    TAARIFA KWA UMMA AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju Sokoni Kinondoni Dar es Salaam basi lenye namba T 235 EMJ aina ya Yutong mali ya Kampuni ya Abood...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Cape Verde; Wanafunzi 25 wafariki kwa ajali

    Watu 25 wamefariki dunia, wengi wao wakiwa watoto na vijana, baada ya basi lililokuwa limebeba abiria waliokwenda katika ziara kuanguka kwenye korongo katika Kisiwa cha Fogo, nchini Cape Verde. Ajali hiyo ilitokea Jumamosi jioni katika eneo la milimani kaskazini mwa Fogo, ambapo basi hilo...
  19. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya ndege yatokea Miami

    Ajali mbaya ya ndege ya mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami watu watano wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya ndege ya mizigo ya Amazon Prime Air kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami (MIA) Jumapili mchana, ikigonga magari kadhaa na kuwaka moto...
  20. RRONDO

    JamiiForums Tanzania KERO TANROAD,Hizi Taa Zitasababisha Ajali.

    Kwenu Tanroads na wahusika wengine wa usalama barabarani. Taa za kuongoza magari katika makutano ya Barabara ya Kilwa na Barabara ya Kawawa zimesetiwa kimakosa. Taa hizi zinaruhusu magari yaa kawaida kunyoosha moja kwa moja na mabasi ya mwendokasi kukata kulshoto na kunyoosha kwa wakati mmoja...
Back
Top Bottom