Maelfu ya wateja wa Kenya Power wamekumbwa na changamoto ya kushindwa kununua tokeni za umeme wa malipo ya awali saa chache baada ya hitilafu kubwa iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini.
Wateja wengi walilalamika kuwa miamala kupitia huduma za simu na majukwaa...
Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza.
Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, hasa nyakati za jioni (kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku). Tatizo...
Anonymous
Thread
center
eneo
kukatikakukatikakwaumeme
mwanza
sugu
tatizo
tuna
umeme
Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
Anonymous
Thread
kimya
kukatikakukatikakwaumeme
mamlaka
mvomero
sugu
tatizo
umeme
wilaya
wilaya ya mvomero
Wiki ya pili Sasa Jimbo la Kivule Mtaa wa Bombambili umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurudishwa saa nane usiku maisha yamekua magumu kwa wananchi ambao asilimia kubwa ni wajasiriamali. Hamna taarifa kama ni mgao wa umeme au ni upumbavu wa Watendaji wa Tanesco
Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo kumesababishwa na hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa rasmi ya hitilafu kubwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa, iliyotokea majira ya saa 2:36 asubuhi na kusababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika mikoa yote inayounganishwa na gridi hiyo.
Kwa mujibu wa TANESCO, timu ya wataalamu inaendelea...
Hii ni kwa Tanesco Aisee Sijawahi kuona mgao kama huu, Huku mbagala Chamazi sasa tunakatiwa umeme masaa 24, hadi zaidi!
Tuliambiwa kuwa ni maboresho ila nimegundua wazi ilikuwa ni Propaganda ya Mgao wa umeme! Jamaa wanatafuta maeneo yenye population kubwa na watu duni kisha wanawakaba koo kwa...
lamination ni zoezi la kujaladia vyeti ili viwe na uimara wa muda mrefu, visiharibiwe na maji, uchafu, mikunjo, n.k.
Umeenda stationery kufanya lamination (Kujaladia) cheti cha elimu, hati ya nyumba / shamba, leseni ya tenda, n.k. MARA PAAAP !! umeme unakatika, mashine yenye moto mkali...
KERO YA UKOSEFU WA UMEME WA MARA KWA MARA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.
Katika story za hapa na pale, mara kadhaa nimekuwa nikikejeliwa na ndugu zangu huko mikoani kama kweli naishi jijini Dar es Salaam, tena km 6 tu kutoka Ikulu ya Dar es Salaam.
Tangu nihamie kutoka KINONDONI hadi Kisiwani...
Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A.
Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A. Ukiuliza wanajibu hitilafu!. Hii hitilafu ambayo haina mwisho ni hitilafu gani?
Shida ni nini? Juzi mnasema umeme ni mwingi kupita matumizi shida mgao. Hii kauli haieleweki kukiwa na kukatika kwa umeme kama hivi.
Tutaweza kuuza umeme kwa jirani kweli kama alivyosema Rais Samia
Sifahamu shida ni nini
Vimikatiko vya umeme visivyoeleweka vimekuwa vingi kiasi cha kujiuliza maswali iwapo tayari Tanesco wameshaanza kutoa dozi ya mgao wa umeme
Wakati matamko ya viongozi mbalimbali yakitolewa ya kutokuwepo mgao wala usumbufu wowote wa umeme hata kwa misimu mitatu ya ukame...
Sote tunataka nchi yetu isonge mbele lakini tunachoka na kuumia mnoo tunapoona suala la umeme hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 mfululizo likitumika kama kichaka cha upigaji wa watu fulani fulani na kuchezewa sarakasi za ajabu na wanasiasa.
Kwa muda mrefu sababu za kukosekana kwa umeme wa...
Rais ametoa tamko rasmi kuwa serikali imesaini (itasaini?) mkataba wa kununua umeme kutoka Ethiopia ili kuondoa kama sio kupunguza kabisa tatizo la umeme kukatika katika ovyo katika mikoa ya kaskazini.
Huenda labda sina taarifa sahihi, lakini sote tunajua kukatika katika ovyo kwa umeme kupo...
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam.
Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani ya saa 1 unaweza kukatika hata mara 5. Hali hii imesababisha kukwama kwa shughuli nyingi za kiuchumi...
Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake.
Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka pale watumiaji wanapolalamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye shuka ukitingisha tu kwa uwoga umepigwa na nyoka acheni izo mambo
Af ilo treni la umeme nao a mda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.