Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
Habari hii nimeitoa fb, huyu jamaa anatafuta ushauri, ila ushauri wa "Simon" kama utakavyo usoma hapo chini, haukuwa wa KISTAARABU kwa uelewa wangu na kwa utu wangu mimi!
Hebu na wewe naomba soma hiyo stori umshauri mhusika na bila kumsahau na "Simon" pia ashauriwe.
Niwe muwazi tu mimi...
Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo.
Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia.
Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza...
Ndugu zangu Watanzania,
Huruma siyo Malezi,sina huruma na CHADEMA Mimi wala sina nachowaombea kizuri chochote kile. Kila Baya Liwe juu yao . Wapitiage mabaya tu na kukutana na mabaya tu na kila aina ya Dhoruba itakayo wapa msongo wa mawazo na mateso ya akili .
CHADEMA wasipate amani ya moyo...
TAMISEMI ilivyoharibu Penzi langu
Ilikua mwaka jana nikakutana na binti mrembo, tulikutana kwenye harakati zangu za hapa na pale za kutafuta riziki. Niliongea nae vizuri na kuanza kufahamiana hadi kupendana haswa.
Tuliishi kwa kupendana na tukawa na mipango mikubwa siku moja tutafunga ndoa...
Wakuu nimepata mdada mnyamwezi wa Tabora nimegundua nahitaji ujasiri wa hali ya juu kuepuka hiki kishawishi.
Mtoto anaumbo tamu na viji dimpoz kiuno chembambaaa.
Nawatakia kazi njema.
1.raia wa Israel wanapotalii nchi za ugenini Hususani huku Afrika wahakikishe wasiwe kwenye makundi makubwa kuepuka shambulio la kigaidi. Wasiweke nguvu tu kwenye nchi za Ulaya,uarabuni au Asia katika kujilinda wakasahau na huku Afrika. Serikali ya Israel isijiamini sana kwamba serikali za nchi...
Nasema Kumuacha ni Mafanikio kwa sababu ulikuwa mtiti, kivumbi na jasho😅
Sababu kubwa ya kumuacha ni
1. Alikuwa Hana Siri kabisa. lolote tunaloshirikiana nitalikuta kwa majirani, Wafanyakazi wenzangu na hata Kanisa
2. Alikuwa Mbinafsi sana. Hawazi collectively. Ana umimi muda wote
3. Ana kelele...
Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu.
Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC wamekuwa waongo?
“Wanaume hawaji karibu nami. Hata hawajaribu. Wananiona kama mtu asiyeweza kufikiwa, lakini hakuna mtu ambaye hawezi kufikiwa. Sisi sote ni binadamu. Sote tuko sawa, kila mmoja ana thamani yake, na sote tunastahili kupendwa na kuheshimiwa kwa usawa.
Sijawahi kujiona kuwa bora kuliko mtu...
Jambo Tanzania
Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,
Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.
Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi...
Hamjambo!
Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29.
Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu linanisapoti kufanya mijongeo freestyle, na moves za kasi kuliko kawaida.
Shuleni kwetu nilikuwa moja ya...
Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
Anonymous
Thread
buza
eneo
hii
jana
jiji
katika
kufanya
mama yangu
mke
mke wangu
mzazi
sheria
simu
taarifa
wangu
yangu
Mariam Vincent Mahimbo, mkazi wa Buza, Chama Yombo, Temeke amekuwa akimtafuta mume wake, Ally Nanjasye kwa zaidi ya miezi mitatu tangu alipoondoka nyumbani Mei 12, 2026, baada ya kupigiwa simu na dereva wa bodaboda aliyemweleza kuwa alikuwa na kazi ya kwenda kuiona.
Mume ambaye alikuwa...
Nimepata mstuko mkubwa Sana leo baada ya kuangalia wasapu sitatasi ya mke wangu nileyapata nae watoto 2 na kukuta amechapisha picha ya Baba mtoto wake na jumbe za malovee, Huku wakininanga na kuniita Kigagula.
Natamani iwe ni ndoto au eyiyai . Naangusha machozi ya uchungu, Mwehu naliaa Kwa...
Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki.
Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.