wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. H

  Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

  Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
 2. ndege JOHN

  Iringa ni pazuri wakuu?

  Sijafika Iringa mkoa naousikia mzuri sana mimi napenda kujua upande wa mito inayotiririsha maji mwaka mzima na vipi kuhusu majengo yaliyopo Iringa majengo ya kweli yamekwenda hewani. Naombeni picha za mji wa Iringa wakuu kuanzia Ruaha na Mjini na maeneo ya mabonde yanayoleta maji Rufiji.
 3. Cassnzoba

  Swali kwenu wakuu

  wakuu Za jioni.......... Leo nimefikiria nimeona niwaulize na nyie, hivi kile tunachokionaga kinapaa angani Huku kinatoa moshi nyuma ni ndege au roketi??? Niko apa kuwasikiliza, Nawasilisha.
 4. H

  Wakuu naomba msaada kujua fee structure ya chuo cha Muhimbili College of Health and Allied Sciences.

  Habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi? Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu? Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
 5. Not_James_bond

  Viongozi kutishia wananchi hadharani hii imekaeje wakuu?

  Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa? "8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo - (a) wananchi ndio msingi wa mamlaka...
 6. Black Butterfly

  Geita: Wakuu wa Wilaya wapewa Magari 3 mapya yaliyogharimu Tsh. Milioni 840

  Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amekabidhi magari matatu mapya kwa Wakuu wa Wilaya ya Geita, Mbogwe na Nyang’hwale yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 840. Akikabidhi magari hayo katika Kata ya Bombambili Halmashauri ya Mji wa Geita, Shigela amewataka Wakuu wa Wilaya kuyatumia vizuri...
 7. Malaika wa Misukosuko

  Wakuu hili ni Jiwe la aina Gani ? nimeliokota

  Habari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.
 8. Kazanazo

  Wakuu tusaidiane hapa

  Wakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano wa kutibu akapona kabisa Wakuu humu kuna siku katika kusoma comments mbalimbali nilipata kusoma ya...
 9. Roving Journalist

  Kuelekea 2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
 10. The Lost Boy

  Leo nimefunga biashara yangu

  Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara. Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii...
 11. nipo online

  Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

  Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
 12. B

  Naombeni Msaada wa kisheria Wakuu

  Habari wakuu naombeni msaada wenu Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
 13. Cassnzoba

  Wakuu naombeni mtu anayetumia gb whatsapp mpka leo anisaidie

  Salamu wakuu Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
 14. Simeone

  Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)

  Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)
 15. Uwesutanzania

  Nina vijana wawili wamekosa msaada kwenye soka wakuu nahitaji msaada wenu

  Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania. Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi. Mmoja ni winga. Ni dogo wa miaka kama 17 hivi ni 17 kweli sio za mchongo. Dogo kipaji anacho, kwanza ana...
 16. Paul dybala

  Wakuu nisaidieni mke

  Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa. Umri wangu miaka 32. Kazi bado sina ila najishughulisha na...
 17. Yoda

  Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

  Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana. 1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba. 2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore. 3.Viktor Orban-Miaka 28...
 18. Doto12

  Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

  Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
Back
Top Bottom