timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Mfumo wa FA ubadilike. Timu za ligi kuu zicheze wenyewe kwa wenyewe

    Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja. Au basi kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde...
  2. BRN

    Stellenbosch timu kubwa au timu ndogo?

    Nauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale. Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au Vibonde?
  3. M

    Kwa Utajiri wa Stellenbosch(Johann Rupert) , Simba(MO Dewji) ni Timu ya Masikini , Huwezi shindana na Matajiri

    Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert. Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku...
  4. kipara kipya

    Lile kundi la Yanga timu zote chalii Yanga, Tp Mazembe, Mc Alger na Al hilal

    Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague...
  5. City Of Lies

    Timu ya upinzani kupewa kona kipa akipoteza muda

    Shirikisho la kandanda duniani FIFA linasema hatua ya muamuzi kutoa kona kwa timu ya upinzani endapo mlinda lango ataushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane, itasaidia kupunguza suala la kupoteza muda. Chanzo: DW
  6. M

    Viongozi wangu wa Coastal Union, msipoangalia huyo Joseph Lazaro ataishusha timu daraja

    Joseph Lazaro, beki wa zamani wa kushoto wa Coastal Union akiwa msaidizi wa marehemu Douglas Mhani enzi zile za marehemu Hamis Makene, benchi akiwa Mohamed Mwameja, kulia Saidi Kolongo, kushoto Douglas Mhani, nne Yassin Abuu Napili na sentahafu marehemu Idrisa Ngulungu, sita pale alikuwa...
  7. SAYVILLE

    Msimu huu kuna uwezekano wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za kiarabu

    Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili. Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini...
  8. holoholo

    Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  9. A

    Ogopa sana kukutana na timu inayocheza 9-1 ambayo haina cha kupoteza.

    Narudia tena ni shughuli ngumu mno kufungua code za timu iliyoamua kupaki. Ni timu chache sana duniani zinazoweza shughuli hii. Na hata ukiweza kushinda basi ni kwa margin ya goli moja unless refa awe upande wako. Wapo makocha ulaya waliwahi kulalamikia mfumo huu ambao hauna umri mrefu katika...
  10. SAYVILLE

    Mashabiki wa mikoani sapotini timu zenu na punguzeni unyonge na kuwa vibaraka wa timu kubwa

    Mimi ni mpenzi wa mpira wa ushindani. Sipendi timu ninayoshabikia ishindeshinde kwa kubebwa au kwa njia za mkato. Ushindi mtamu ni ule wa kutolea jasho. Ningependa sana ligi kuu ya Tanzania iwe na timu imara za mikoani zinazotoa ushindani wa kweli kwa timu kubwa. Huwa sipendi ninapoangalia...
  11. Mhaya

    CAF Champions League nusu fainali ni timu za "South Africa Vs Egypt"

    Kwa mwenendo wa matokeo haya, kuna uwezekano Nusu Fainali hadi Fainali zikawa ni Timu za Falao na Wazulu zitakazo Chuana.
  12. The Watchman

    Pre GE2025 Makonda: Rais Samia ametuma timu ya wanasheria kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua migogoro ya kisheria kwa wananchi wa wilaya zote zinazounda Mkoa wa Arusha. Akimshukuru Rais Samia...
  13. mdukuzi

    Miaka ya 1990s timu yetu ilikuwa na golikipa muathirika wa Ukimwi,timu pinzani waliogopa kumsogelea wakawa wanapiga mashuti ya mbali ili asiwaume meno

    Leo nimekumbuka kisa cha timu yetu miaka ya 1990,kipindi hicho ukimwi ni ugonjwa hatari kweli kweli ,hakuna cha ARV wala nini. Tulikuwa na golikipa muathirika na yeye alijijua kuwa ameathirika ikitokea umemsogelea anatishia kukuuma na meno. IKipigwa kona wachezaji wa timu pinzani wanakaa mbali...
  14. Jaji Mfawidhi

    Nguvu inayotumiwa na vijana Kwenye mijadala ya Timu mbili za Kariakoo meshauriwa kuhamishiwa:

    Vituo karibu vyote vya redio pamoja na vya madhehebu ya dini vimehamia kwenye mpita. Vituo hivyo, mbaya zaidi, kuanzia asubhi mpaka usiku wanajadili timu mbili za Kariakoo. Inasemekana vijana wanaojadili mpira mpaka kusahau wake zao na kuchapiwa na wasio washabiki wa mpira ni wengi na wangeweza...
  15. GENTAMYCINE

    Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka Mambo sawa wawatoe Kafara akina Mguto na Kassongo wakiamini kuwa wana Yanga SC wataridhika na kuleta...
  16. Tajiri Tanzanite

    Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

    Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele. Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
  17. NALIA NGWENA

    Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
Back
Top Bottom