naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Hodi! Naombeni mbinu ya kujizuia kumwaga mshindo!

    Nifanyeje niweze kujikontrol na kumalizia kwa dakika ninazotaka Mimi?!!! Msaada tafadhali🙏🙏
  2. sepema

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kuanzisha Gulio/soko

    Nawasalimu nyote. Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha. Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo wakazi wahapa wanaweza kupata bidhaa ndogo ndogo ambazo kwa kawaida hupatikana magulioni. Ili kupata...
  3. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo tafadhali

    Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo niweke 1 mil maisha yasogee..kampuni iwe sportbet
  4. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Wakuu niko na binti ambae nimemtia ujauzito na nilikuwa nina mipango ya kumuoa shida ya yule binti sio mtu anaependa sana ukaribu namimi na mara zote anakuwa mkali kwangu kifupi ni kama anipend sababu hata akija home hata kama unaumwa awez kukufanyia usafi wa ndani. Nikawa najiuliza shida ya...
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

    Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye? Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao. Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni. Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Mungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29 Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima. Sasa najiona nimekua mkubwa. Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    plz msiwataje hawa bei zao ni kubwa sana
  8. ibrahim143

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu

    Wakuu mliopo Dar kijani wenu hapa nilikuwa naomb mwenye connection yoyote ya kazi ya kibarua anisaidie 🙏🙏
  9. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  10. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wakuu mliofanikiwa naombeni mnipe darasa

    Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu

    Jana Rasmi Nimeachana na Mpenzi wangu, huyu Binti Tulipendana sana Wakati tupo Chuo, Mimi nikiwa Mwaka wa Pili, yeye wa kwanza, Sote Tumesoma Diploma. Mimi ni introvert hivyo huwa napenda sana kutafakari Sana Mambo, Hivyo Jana Nikaona Nimuulize ikitokea sote Tukapata AJIRA Serikalini Mahusiano...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kuwajibisha Precision Air Tanzania

    Karibu miezi miwili sasa nimekumbana na kazia mbovu ya huduma kwa wateja kutoka kampuni ya ndege ya Precision Air. Tofauti na sera yao ya utaratibu wa kurejesha pesa kwa safari iliyohairishwa na kutolewa report ndani ya wakati ndani ya week 2, jitihada za kuwasiliana na huduma kwa wateja...
  13. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Naombeni support yenu

    Habari! Wana Jf Naomba support yenu Kunipigia kura katika mashindano ya miss charm Africa 2026 niweze kuwakilisha nchi katika ubunifu Namna ya kupiga kura, bonyeza hii link hapa chini, itakupeleka Instagram Kisha una follow page, kulike kucomment na kushare 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 MEET TANZANIA 🇹🇿...
  14. Jchris14

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la wimbo huu na aliyeimba

    Salamu ndugu zangu, na imani una siku njema. Naomba unisaidie jina la huu wimbo na aliyeimba.🫶
  15. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada kupata hizi nyimbo

    Habari wakuu nina shid sana na Nyimbo za Franco FRANCO RUAMBO LUANZO MAKIADI Nyimbo za Madilu mult sytem Asanteni sana. Natanguliza Shukran Nyingi.
  16. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  17. under500

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar naombeni muongozo. Maisha yakoje huko?

    Habari za jion wakuu Kwanza kabisa Mimi ni mkazi wa mafinga ila kwa sasa Niko kwenye gar naelekea dar ila sjawai fika kabla i Hii ndo mara yangu ya kwanza kuenda Dar kwa hiyo naombeni mwongozo
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jaman naombeni muongozo wa biashara ya ya chipsi Changamoto na faida na mengine Asanteni sana🙏🙏

    Jamani naombeni mwongozo wa biashara ya chipsi Changamoto,faida,hasara na mengine nisiyoyajua Asnteni..🙏🙏
  19. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu ndoa

    Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya. Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja. Sasa naombeni...
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wadau wenye software ya office suite naombeni copy

    Nina shida na Microsoft office suite iliokamilika. Kama kuna link au source
Back
Top Bottom