Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore...
Kumekuwa na malalamiko na tuhuma kuwa Shirika la Reli limefuta safari zake za SGR saa 3na asubuhi, lakini katika hali ya dharau shirika limegoma kujibu au kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo! Sasa wateja watapata wapi jibu au wamtake waziri wa uchukuzi ajibu kwa niaba ya shirika?
Habari zenu wanajukwaa la MMU,
Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja.
Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hayo unaweza kuthibitisha kwa haraka hata kwa kuangalia baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini idadi kubwa ni Wakristo wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni, na...
Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais.
Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar watafika zanzibar.
Uvumi wa kutoonekana kwa Makamu wa Rais aliyejiuzulu
Utafutwa?
Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi.
Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers.
It wasn’t.
Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda.
Maadhimisho hayo yanafanyika...
Sina utaratibu wa kuandika andiko fupi lakini leo naomba nijaribu. Nimeona kwenye mitandao makamanda na wengine wanao amini kua ni wanaharakati wakimnanga Mh.Mbowe kushiriki uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme wa JNHPP. Wengi wanaotoa shaka na tuhuma kua Mh.Mbowe amekosea sana na kuonesha kua ni...
Shule ya Sacred Heart Mukumu Girls imeagizwa kulipa Sh300,000 kama fidia baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka faragha ya mwanafunzi kwa kushiriki picha yake na wahusika wa nje bila idhini ya mzazi au mlezi.
Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) ilisema shule hiyo ilikiuka Sheria ya...
Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi.
Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga (57), Fantson Mpango (49), Abely Mwesa (62), Hassan Said (43), Emmanuel Wambura (30), Adam Idd (23)...
Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi.
Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu.
Wanafunzi...
Hamjambo!
Tume ya uchaguzi ilitangaza Mgombea wa CCM, Mhe Rasi, Samia Suluhu kushinda uchaguzi kwa kura zaidi ya 30M huku ikisema ni zaidi ya asilimia 97 na pointi huko.
Mimi ni mmoja ya watu wanaoamini matokeo ya tume yanamakosa. Watu 30M kwangu naona ni uongo. Kutokana na kilichokuwa...
Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM.
Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika.
Regime mpya inayokuja nauhakika itawachukulia hatua watu wote walioshiriki kufanya maovu kama utekaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.