Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu.
Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema...
Mbunge wa Uganda, Brian Kipyagon, amezua mjadala baada ya kuonekana kwenye video akimfanyia kampeni Rais William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 2027.
Katika video hiyo, Kipyagon anawasihi wananchi kumuunga mkono Ruto na hata kudai kuwa Waganda wanaweza kuvuka mpaka kuja Kenya kumpigia...
Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini
Ukipelekwa mswada wa kodi kwa mtu ambaye ni...
Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Hassan Bomboka ameripotiwa kuagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Tawi la Bomang'ombe Bi,Agnes Kimaro huku kukiwa na wingu zito kuhusu sababu hasa za kiongozi huyo kutoa amri hiyo .
Mwenyekiti huyo alikamatwa na kuswekwa...
Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu kuhusu maji machafu yanayotolewa kwenye visima, hali iliyowafanya kunywa maji yasiyo safi.
Waziri...
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza mwanamuziki Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya kwa juhudi zake za kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kulinda maadili, akimtaja kuwa ni mpambanaji wa maadili na “Balozi wa Wabunge” katika kampeni yake ya 'Linda Mgongo wako'.
Kingu...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ameapa kutoogopa vitisho vyovyote na kuendelea kupigania haki za wananchi wake.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi, mbunge huyo aliwahutubia wale wanaokandamiza haki, polisi wanaonyanyasa raia...
Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Kondoa Mjini, Dodoma wameeleza hisia na madai mbalimbali kuhusu kutokuwepo kwa Mbunge wao katika shughuli za jimbo, huku taarifa zisizothibitishwa zikisambaa katika baadhi ya makundi ya mitandao ya kijamii
Mjadala huo umeibuka katika baadhi ya makundi ya WhatsApp...
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii.
Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika.
Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026.
Madawati hayo yaligharimu kiasi cha Shilingi milioni tatu, fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa...
Mbunge ashauri Chama cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia, raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama mgombea wa uraisi 2030
https://www.facebook.com/share/v/1Bo5jn5G75/
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu.
Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
Video inayoonyesha Mbunge wa Nakuru Town West, Samuel Arama, akirusha mikate kwa wananchi wa eneo bunge lake imezua mjadala mzito na hisia mseto miongoni mwa Wakenya kwenye mitandao ya kijamii . Katika video hiyo, MB Arama anaonekana akitupa mikate na scone hewani huku wananchi wakiwania na...
My Take
Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amedai yeye ni mtumishi na wiki chache zilizopita alizungumza na Mungu, hali iliyofanya ampigie simu Deogratius Ndejembi kwamba kuna jambo kubwa linaenda kumtokea siku chache zijazo...
My Take
Wale wanafiki,ma snitch na wasaliti (Yuda) wataendelea kuteseka sana na vyeo wanavyotafuta Kwa kuwapiga Shoti wenzao hawatakuja kuvipata qataishia kuviona Kwa wengine tuu.
Naunga mkono hoja,ujumbe umefika.
https://www.instagram.com/reel/Dck4hG8sBO3/?igsi=MTYzN3EwaGZuYWdyNQ==
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado amepokelewa kwa kishindo na shangwe kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika viwanja vya Baraza la Idd Tunduru Mjini, tarehe 23 Agosti 2026 kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Mkutano wa Bunge la Bajeti na kukusanya maoni kuelekea Mkutano wa Bunge ujao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.