Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...
Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye jeneza...
Ukimuona Baba yako anatoka asubuhi na jioni anarudi salama , muombee Dua ya kazini mengi...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington.
Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa azimio kubwa na hekima kubwa. Tutajadili masuala yote kwenye ajenda, kwanza kabisa, Iran. Ninaanza safari...
Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu.
Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026:
Napenda kuwasilisha kwenu baadhi ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo sisi walimu wa mkataba chini...
Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother.
Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake.
Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki.
Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha...
Ni jambo jema kuwaalika Maseneta wa Marekani ili waje wafanye uchunguzi wao kuhusu yaliyotokea October 29 na mengine mengi yanayolalamikiwa na wanasiasa wa upinzani, wanasheria na wanaharakati. Muhimu Maseneta watakaokuja wapewe fursa ya kuonana na makundi yote ya kijamii na isije kutokea...
Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote.
Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
Umoja wa Mataifa, UN, imetoa tamko linaloweka sawa msimamo wa Umoja huo kwa yale mauaji yaliyotokea Oktoba 29.
Kwanza wanasema uchaguzi ulikuwa na walakin.
UN imetamka wazi kuwa mauaji yaliyotokea ni haramu kwa haki za kibinadamu. Na kwamba Tume iliyoundwa kuchunguza mauaji haina sifa ya kuwa...
Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM
Hataki kuonana na wananchi?
Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa...
NRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano...
Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na tunafahamiana na kiukweli huwa namtamani sana.
Wakati shughuli za mazishi zimekamilika, tukabaki...
Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi.
Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais.
Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais?
Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.
Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote...
Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze
Akikupenda swala la kuonana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.