kuhudhuria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Watumishi Halmashauri ya Momba walazimishwa kuhudhuria Sherehe za Muungano kwa gharama zao

    Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe 26/4/2024. Agizo linawataka watumishi hao kufika maeneo hayo kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe...
  2. Mtemi mpambalioto

    Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

    habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais! miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine? Je...
  3. M

    Ili kuhudhuria Art Exhibitions kwenye nchi zingine unapaswa kufanya nini?

    Habarini wanajamvi, Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
  4. MSAGA SUMU

    Naomba utaratibu wa kuhudhuria arobaini ya mzee wangu Mwinyi

    Tukiwa tunaelekea arobaini ya mzee wetu Mwinyi nilikuwa nataka kupata utaratibu wa kushiriki. Sikupata nafasi ya kukutana na rais Mwinyi kumpa pole kama walivyofanya watu wengine sababu ya ubize lakini nataka kujitahidi kushiriki 40. Ningependa kufika ikulu ya Zanzibqr siku moja kabla ya 40...
  5. Mhaya

    Wito wa kuacha kuhudhuria Show zote za Harmonize

    Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako. Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani unampiga beat kwamba utampiga kichwa na ashindwe kuamka. Hii kauli aliyotoa Harmonize sio ya...
  6. BARD AI

    Mahakama Kuu Kenya yaamuru Wafungwa waruhusiwe kuhudhuria Mazishi ya ndugu zao

    KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi. Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari...
  7. M

    Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  8. Wadiz

    Je, Viongozi hao kuhudhuria hafla za makanisani ni mpango wa kuwagawa wakristo kwa sababu ule upande wako pamoja kuhusu DP World?

    Wasalaam JF, Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini? Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
  9. Kiplayer

    Ni unafiki kuhudhuria Misibani

    Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
  10. M

    Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

    WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
  11. Kenyan

    Upinzani wagoma kuhudhuria maombi ya kitaifa

    Viongozi wa Muungano wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wamegoma kukubali mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria maombi ya kitaifa yaliyoratibiwa kufanyika leo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Azimio imedai kitendo cha serikali ya Kenya kwanza kuandaa hafla ya maombi...
  12. BARD AI

    Wakuu wa Nchi 20 kuhudhuria uapisho wa Rais wa Nigeria leo

    Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis Sassou Nguesso (Jamhuri ya Congo). Wengine ni Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau, Julius Maada...
  13. benzemah

    Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria Bola Tinubu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  14. benzemah

    Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  15. kyagata

    Hivi Rais Samia hakupata mwaliko wa kuhudhuria kusimikwa kwa mfalme Charles iii?

    Jana ilikua sherehe ya kusimikwa kwa mfalme Charles iii wa Uingereza. Lakini sijaona maza House wetu akihudhuria hizo sharehe. Je, hakupata mwaliko au tatizo nini?
  16. T

    DOKEZO Matangazo na barua za vitisho zashamiri kwa wataokaidi kuhudhuria Sherehe za Mei Mosi kitaifa Morogoro. Sheria ikoje?

    Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya wafanyakazi, wapo watumishi wanao amini michango yao inaliwa tu na viongozi wa vyama hivi kwa kujilipa...
  17. BARD AI

    Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
  18. Yakki Kadaf

    DOKEZO Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo

    Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
Back
Top Bottom