kero

 1. L

  Hivi ni kweli Wizara ya Ardhi imeshindwa kutatua kero za wapangaji nchini?

  Zaidi ya asilimia 80 ya wananchi hasa mijini wanaishi nyumba za kupanga. Kwa mji kama DSM ambapo bado kuna uhitaji mkubwa wa makazi bora, watu hutumia zaidi ya robo ya vipato vyao kulipia kodi za nyumba kila mwezi, lakini cha kushangaza, serikali haioni unyeti wa kuingilia na kusimammia sehemu...
 2. Janja PORI

  Kwako Mkurugenzi mpya, BRELA mnafukuza wawekezaji

  Mwaka 2020 umeanza na fumua fumua ya hali ya juu pale BRELA lakini kwetu wadau wa BRELA na wadau wa wawekezaji tunaona ndiyo kwanza kero imeanza. Wakati wa KAKWEZI japo BRELA kulikuwa na urasimu na baadhi ya madudu lakini angalu mambo yalikuwa yanaenda, kwa sasa kusajili KAMPUNI Tanzania kwa...
 3. M

  Tushirikishane hapa kero au tabia zinazokera za wenza wetu na changamoto zake

  Ulishawahi kuwa na mwenza (mpenzi/rafiki/mwanandoa) mwenye tabia yenye kukera lakini hata jinsi ya kumuambia unajiuliza mara mbilimbili utamuambiaje na ataipokeaje? Ana tabia ambayo, kwa kujua bila kujua inakera sio tu kwangu mimi binafsi bali hata watu wengine. Kwasababu ya upendo na kuwafanya...
 4. DISPLEI

  Kero za Rushwa Trafic kituo cha Mwendo Kasi - Ubungo Kibo

  Hivi karibuni Trafic Police wanakaa sambamba na kituo cha Ubungo Kibo kuzuia magari yasipite njia ya mwendo kasi (kuelekea Ubungo). Sambamba na kituo hicho, kuna kituo cha daladala pia na bajaji zinapakia na kushusha. kutokana na pilikapilika mahali hapo, waendesha magari kuna wakati...
 5. M

  Madai ya CHADEMA Kanda ya Pwani kuhusu Kero ya mabasi ya mwendokasi yamuibua Waziri

  Kaimu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Baraka Mwago amezungumzia Kero kubwa ya Mabasi ya mwendokasi inayowakumba wakazi wa Dar es Salaam. Katika Salaam zake za mwaka mpya kwa Wakazi wa Kanda ya Pwani kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alisema magari ya mwendokasi yamekuwa...
 6. K

  Usafiri wa mwendokasi kituo cha Kimara kero kwa wananchi

  Kwa wahusika hasa halmashauri ya jiji na TAMISEMI, wasafiri tunaotumia usafiri huu tunakerwa na tabia ya wafanyakazi wenu kukatisha tiketi na kuchukua pesa hali wakijuwa hakuna either magari au magari yapo ila madereva hakuna. Hali imekuwa ikijitokeza mara kwa mara. Leo asubuhi na mapema watu...
 7. kavulata

  Tusihamishie Dodoma kero za Dar es Salaam

  Kero kubwa ya Dar es Salaam kushinda zote ni foleni ndefu za magari kuelekea na kutoka Posta. Shida hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na ofisi na huduma nyingi kupatikana mitaa ya Posta. Je, huko Dodoma kosa kama hili wamelizingatia? Je, ofisi nyingi za serikali zimetawanywa au zote ziko mtaa...
 8. Tulimumu

  Bodi ya mikopo ni kero kubwa kwa wanafunzi nayo imejigeuza mhimili

  Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa kienyeji mara wanafunzi wanaambiwa walege nyaraka zile zile ambazo washaziwasilisha kwaajili ya mikopo...
 9. F

  TARURA Mwanza na kero ya maegesho - Rais Magufuli tusaidie

  1. Unascaniwa ikiwa haupo 2. Hakuna anayekujulisha kwa mdomo au text message 3. Unafanya jitihada kujua iwapo ulikuwa scanned, unaulizia kwa kutumia simu 152*00, usafiri, TARURA, deni jibu linakuja huna deni 4. Unakaa baada ya masaa kama 4 unajaribu tena jibu ni huna deni, unaachana na suala...
 10. namraroh

  Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

  Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu. Leo wakati naelekea...
 11. Mambo Jambo

  Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

  Hii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia. Tuendelee:- Wakuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu...
 12. babalao 2

  Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

  Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
 13. Mina cute

  Mtandao wa Tigo ni kero

  Morning Kiukweli Tigo jamani wanakera sana, tarehe 31 October mzee amenunua kifurushi cha tsh 2500 kwa njia ya Tigo Pesa, cha ajabu hela wamekata kwenye Tigo Pesa yake na kifurushi hajapata mpaka hii leo, kila anapopiga simu wanamuambia tatizo linashughulikiwa, ni wiki sasa, japo ni hela ndogo...
 14. Titicomb

  Makonda, Mambosasa huku Ubungo Msewe hakuna serikali?

  Kuna bar ipo makazi ya watu hapa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Paulo inapiga muziki mkubwa sana watoto hawalali, wagonjwa wanateseka. Bar ipo makazi ya watu inapiga muziki mkubwa sanaa na hakuna sound proof, juu ya yote sidhani kama wana leseni ya night club maana wangefuata mashariti ya...
Top