Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini !
Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead !
Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza.
Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
ccm
chama
chama tawala
chama tawala tanzania
kimkakati
kuendelea
kuongeza
mikakati
nchini
siasa
tanzania
vingine
viongozi
vyama
vyama vingine
wafuasi
wakati
wananchi
wengi
Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine.
Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka.
Historia ya...
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, wana-JF!
Asubuhi ya leo, nataka niongee na mtu mmoja ambaye moyo wake umelala. Nataka niongee na jamii ambayo imezama kwenye dharau, anasa, na kiburi, ikisahau kuwa Mbingu haijawahi kudhihakiwa. Nataka nikurudishe kwenye Kitabu cha Mwanzo 6 na 7, mahali ambapo...
Kwa siku kadhaa sasa, Taa za kuongozea magari zilizopo Tazara ambapo pia kuna njia ya kwenda Buruguni na Airport hazifanyi kazi, vyombo vya moto na watu wanaovuka kwa miguu wote wanapotaka kuvuka wanaviziana.
Hii si salama kabisa, inamaana viongozi husika hawaoni hiyo hali! Kibata Zaidi njia...
Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
Anonymous
Thread
barabara
hela
hifadhi
kila mwezi
kufanya
kulazimishwa
mwezi
usafi
wakati
wananchi
HAKIKA LEO HII WATU WANAPUUZA TAARIFA ZA EL NIÑO KAMA VILE NYAKATI ZA NUHU:
Je, Tunasubiri Gharika Itukumbuke Ndipo Tuamini?
Ndugu zangu wa JamiiForums, leo nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa jamii yetu linapokuja suala la kuchukulia kwa uzito tahadhari zinazotolewa na mamlaka za hali ya...
Nyie vigogo na machawa huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa chafu maana nchi inaongozwa na raisi asiejua kila kitu just to read on writing paper during conference
Tumeshuhudia bajeti za karibu kila wizara imetoa bajeti ya pesa ndefu sana billion 523.3 watu wa burudani na michezo
Tukija kwenye...
Wakuu, '
Ushauri wa bure: Usikubali kabisa kuwa 'Official Photographer' wa marafiki zako mkienda out! 😂
Unateseka kupiga picha 200, unalala chini kutafuta angle, mwisho wa siku kwenye album nzima huonekani ata kwenye kona, unakuwa mpenzi mtazamaji tu.
Halafu kibaya zaidi, ukishalipa hilo...
Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya michango yetu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) kutoingizwa kama inavyotakiwa licha ya kwamba...
Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa masharti yake.
Amesema kwa kuzingatia kanuni ya sanctity of contract na the...
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
Napenda nitoe maoni yangu kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kwangu namuona kama Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi.
Nitafafanua kwanini nasema hivyo.
1. Lissu kama Kiongozi sahihi.
Mh. Lissu ni Kiongozi sahihi kwa sababu amejipambanua msimamo wake, tangu awali. Amekuwa...
Na Mwandishi Maalum
Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu.
Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
Habari yenu ndugu zangu natumaini mnaendelea vizuri
Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi nchini, japo vyama vingi vilishiriki uchaguzi ule ila mchuano mkali ulikuwa kati ya mgombea wa CCM na mgombea wa muungano wa UKAWA.
Kwa kweli uchaguzi ule ulikuwa mzuri sana (nazungumzia kwa upande wa bara acha...
Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe .
Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata Mfugaji??.
Ila inapotokea Tembo kala Mazao ya wakulima, kavamia makazi ya watu ,kaua watu, aaahh hiyo...
Kuna kipindi unafika mahali unaona si busara kukaa kimya, lakini pia si lazima ueleze kila kitu kinachokupitia.
Kwa sasa niko kwenye hatua ya kujipanga upya. Sina ajira ya kudumu, lakini ninaendelea kutafuta namna ya kujenga kipato changu mwenyewe. Kuna mambo kadhaa ninayafanyia kazi, na...
Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.