vifungashio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wateja kuuziwa vifungashio baada ya kununua bidhaa tena za pesa kubwa tu?

    Hili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje? Ni kwamba wafanyabiashara huwa wanafikiri bidhaa tunaweza kubeba mkononi bila vifungashio au vipi?!
  2. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Vifungashio vilivyopigwa marufuku baadhi bado vinatumika tena kwa wingi

    Hii ni ile mifuko nyeupe inayotumika kufungia bidhaa hasa madukani na sokoni.. kiukweli jamii bado inaitumia na imekubalika kwa watumiaji sababu kuu ikiwa ni upatikanaji rahisi japo inaingia kimagendo. Je kwanini pato la taifa liendelee kupita njia za chocho badala ya kuruhusu wiwanda vyetu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania MDAU, Ni mara ngapi umewahi kukutana na vifungashio vyenye taarifa binafsi za watu?

    Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  5. Ummmmkimkana

    JamiiForums Tanzania Nauza vifungashio

    Nauza vifungashio... mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili....ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa... nauza kwa bei ya jumla pisi moja zinakaa nyanda 35...nauza kwa mia9 tu...oda kuanzia pisi 10 nakuendelea.. napatikana chamazi mawasiliano...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vifungashio vya jumla

    Nahitaji mifuko ile ya nailoni nyeupe ya kupimia kilo moja na kilo mbili hivi - ile mifuko ya kawaida kabisa sio ile yenye seal (sihitaji ile ya rangi) na Vifungashio vingine tofauti tofauti Naweza kupata wapi kwa Jumla (carton)
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa nikifikiria kuanzisha Project ya utengenezaji wa Bahasha za kaki (Vifungashio)

    Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio. Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa. Naomba kwa amabae...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Kitete (Tabora) yasema inafanyia kazi changamoto ya kukosekana kwa Vifungashio vya Dawa

    Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wasilisho kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya dawa na hivyo inakuwa kero kubwa kwa wanaoenda kupokea kwa kuwa zinakuwa hatarini kuharibika. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio...
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Bandari College: Je ni sawa script za wanafunzi kutupwa zikawe vifungashio mtaani?

    Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?
  10. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Kwanini karatasi za mitihani ya wanafunzi ndiyo zimegeuzwa vifungashio vya maandazi?

    Just imagine hii ni karatasi ya mtihani wa "MOCK" uliofanyika mwaka huu mwezi May tu hapo, ila hata kabla ya wanafunzi hawajapewa "Marking Scheme" tayari answer sheet yake imeshafika Dar kutoka Mwanza. Na mtihani wa Mock ni mtihani wa 2 wa uzito baada ya mtihani wa taifa. Binafsi siku...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imezinduliwa, ianze na wale wanatumia taarifa za watu kwenye Vifungashio

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan. Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza kufungashwa kwa ujazo tofauti na inapatikana madukani. Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Bashe amesema...
  13. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Vifungashio vya nafaka

    Habari ndugu kwa wenye uzoefu kuhusu vifungashio vya nafaka mfano mchele kupaki kwenye lebo kuanzia 5kg na kuendelea gharama yake ikoje kwa kila mfuko na nembo
  14. Luhende joseph

    JamiiForums Tanzania Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

    Habarin Wana-JF, Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha biashara ya kupaki na kusambaza dengu ila nataka niwe na nembo yang maalum so nimeshindwa namna ya...
  15. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha vifungashio na mashine ya packaging

    Habari za humu wakuu. Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza,Nimepata wazo la kuanza biashara ya kupack na kuuza chai. Awali ya yote natakiwa nifuate procedure zote za kiserikali,kuanzia TFDA Mpaka TRA, kiukweli mm sijui mlolongo wa hizi taratibu, kwa mwanajamvi anayejua naomba shule...
  16. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye vifungashio vya madawa ya binadamu

  17. Financial

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifungashio kama hivi

    Habari wana jf nahitaji vifungashio vya kuwekea mafuta ya kupaka mgando vikiwa na uwezo wa kutosha kuweka 500gm kilo 1 na kuendelea
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Document gani ulikutana nayo kwenye vifungashio vya karatasi?

    Ndani ya mwezi huu wa sita, nimekutana na document mbili. 1. Transcript ya mwanafunzi wa UDSM, ni copy na inaonekana labda alituma mahali kuomba kazi, amemaliza mwaka 2022, chaajabu imegengenezewa vifungashio vya karatasi. 2. Karatasi ya mtihani ya mwanafunzi kutoka chuo fulani,( nakihifadhi)...
  19. Basasingohe jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza vifungashio vya karatasi

    Nilikuwa naomba mwenye elimu kidogo juu ya utengenezaji wa vifungashio vya karatasi anisaidie.
  20. luangalila

    JamiiForums Tanzania KERO: Stand ya Nzega ni chafu imejaa takataka za vifungashio vya vyakula na plastic

    Ni aibu kubwa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita. Yaani ni takataka zimezagaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyo na viongozi mpo mmekaa tu maofisini mnashindwa kuweka hata dustbins ...
Back
Top Bottom