Jamani habarini za wikiendi,
Naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake...
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila...
Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato...
Wakuu,
Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi.
Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo...
Wakuu salamu,
Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya...
Hey JF Members.
Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua...
Nimeona wauzaji wa mbegu kwa ajili ya chakula wakiuza hizi mbegu za maboga zenye rangi ya kijani zinazotoka India. Hizi mbegu wameziachakata hivyo hazifai kuotesha
Nani anajua wapi zinapatikana...
Wataalamu wa kilimo cha vitunguu maji naomba uelewa juu ya kilimo hicho maana nimepitapita vijiji vya mkoani Tabora nikakutana na zao hili.
Naomba somo, soko na biashara yake ilivyo!
Habari wadau wa jukwaa,ikiwa unaswali lolote unataka kuuliza kuhusu ufugaji wa samaki aina ya sato kwa vizimba (caging) niulize hapa nitakujibu kadri ninavyoelewa kwa uzoefu wangu katika aina hii...
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120% .
Mara ya pili...
Ufugaji wa kuku ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi zaidi nchini Tanzania. Mahitaji ya nyama ya kuku na mayai yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, migahawa, hoteli, na...
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa...
Habarini wadau.
Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili Mkuranga.
Enyi wajuvi.
Naombeni msaada kwenu.
Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa?
Naomba maoni yako hapa.
Tanzania ina zaidi ya mbuzi milioni 24, na idadi hiyo imeendelea kuongezeka kutokana na mahitaji makubwa ya nyama ya mbuzi ndani na nje ya nchi. Tafiti zinaonyesha kuwa ufugaji wa mbuzi ni moja ya...
Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka...
Ndugu wadau wa Jamii Forum As-salamu alaykum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Majeshi Majeshi.
Kama mnavyofahamu, viongozi na wadau wengi wenye dhamana ya kufanya maamuzi hupita na kusoma...
Iko hivi wadau. Katika kubadilishana mawazo na mdau mmoja, nikampa wazo kwamba baada ya kuvuna mahindi sasa tugeukie kilimo cha mali mbichi hususan Kitunguu maji. Malengo ni kwamba at least mwezi...
Zao la nazi pia hujulikana kama mti wa uzima kutokana na kuishi kwa muda mrefu. Kilimo cha minazi ni uwekezaji mkubwa kwa sababu mkulima anaweza kurithisha hata kizazi chake.
Kwa bahati mbaya...
Cha kwanza ambacho nataka kujua ni kuhusu ujenzi wa banda. Nahitaji banda ambalo kukubwatajua wanaishi humo mchana na usiku, lenye usalama ambalo halitavunjwa kiurahisi na wanyama kama fisi au...
Habari za mida
Nahitaji mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kisasa wa mayai Arusha ani supplier mayai kwa jumla imi niko Arusha Mjini,
Karibu sana tufanye kazi pamoja
Nauza shamba langu lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kisarawe, kata ya Kisanga, kijiji cha Kitunda.
Lina ukubwa wa Ekari 6. Udonga safi sana wenye rutuba. Lina maji ya kutosha lwa kilimo cha...
7
Ufugaji wa kuku ni moja ya biashara rahisi kuanza lakini yenye faida kubwa nchini Tanzania. Kozi hii ya ChuoSmart inalenga kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha, kusimamia na kukuza...
Chama Cha ushirika Tunduru TAMCU viongozi wanatumia vibaya madaraka, wanapeana posho mlima Kama juzi hapa chama kilifanya kikao na wajumbe wa TAMCU ukumbi wa Skyway uliopo Tunduru bageti...
Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa — matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha.
Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua:
👉 kasi ya ukuaji
👉...
Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho.
Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.