mapendekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fifteen

    Mapendekezo yangu ya tahasusi mpya ambazo zinaleta tija

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1. Math, Physics And Chinese 2. Physics, Chemistry and Russian or...
  2. Fifteen

    Mapendekezo yangu ya combination mpya

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1.math, physics and Chinese 2.physics, chemistry and Russian or arabic...
  3. BARD AI

    Serikali yawasilisha Bungeni mapendekezo ya Bajeti ya 2024/25 iliyofikia Tsh. Trilioni 49.39

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, kwenye Kamati ya Bunge zima, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, ambapo Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi...
  4. Tareq20

    CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, huyu wa Kizimkazi asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

    Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea. Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi...
  5. S

    Mapendekezo ya njia za kukopa fedha

    Ni vyema kujua kiwango cha mkopo kinachofaa kuwa nacho. Hakuna jibu rahisi kwa hili kwa sababu hali ya kifedha ya kila mtu ni tofauti - na hii itaamua ni kiasi gani cha mkopo kila mtu anapaswa kukopa. Kufanya tathmini hii kunahitaji kujua uwezo wako wa kulipa deni. Kwa maneno mengine, kiasi cha...
  6. BARD AI

    Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe =====...
  7. Mbute na chai

    Mapendekezo ya mabadiliko katika vifungu vya Sheria ya Bima

    Mapendekezo haya nayatoa kwa TIRA. Mabadiliko ninayopendekeza ni kwamba, kuwepo na rudisho (return of some proceeds) la fedha kwa mchangiaji wa bima inayoisha muda wake bila janga kutokea. SABABU ZA MAPENDEKEZO HAYA 1. Kuepusha mianya ya rushwa. Mmiliki wa gari yuko radhi kumshawishi askari...
  8. dongbei

    Mapendekezo ya Namna ya Kuleta Maendeleo Katika Eneo Lako la Uongozi; Nimetumia Diwani na Kata Kama mfano.

    Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo. Utangulizi: Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
  9. P

    Ushauri na mapendekezo yangu kwa Serikali, TCU na wizara ya elimu

    Habari wana bodi, moja Kwa Moja niende kwenye mada. Dunia ina badilika Kila siku,dunia inahitaji mawazo na uvumbuzi mpya kutokana na jamii husika. Napendekeza Kuwa kuanzia 2024 Mfumo wa kupima Wanafunzi kwa njia ya Test, assignment, quiz na university examination ufutwe mana naona una...
  10. R

    John Mnyika anaongea kuhusu mapendekezo ya CHADEMA kuhusu miswada iliyopelekwa bungeni

    Salaam, Shalom!!! Hii ni dira muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Katibu MKUU wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, ndugu John Mnyika amefanya Press Conference na vyombo mbalimbali vya habari nchini Kutoa ufafanuzi juu ya HOJA mbalimbali kujibu HOJA ikiwamo Ile iliyoibuliwa na...
  11. Mr Q

    MAPENDEKEZO. Noti ya shilingi Elfu kumi ibadilishwe

    Kimsngi sina sababu kubwa sana ila kwa mtazamo wangu naona ni noti fulani isiyo vutia Rangi mbaya na ni pana(kubwa) sana Wenye mamlaka litizameni hili.
  12. Analogia Malenga

    Matumizi ya teknolojia ya dijitali yabadilisha upepo wa uchaguzi, Privacy International yatoa mapendekezo kwa wachunguzi wa uchaguzi

    Mwaka 2023: Mabadiliko Makubwa katika Mchakato wa Uchaguzi Kupitia Teknolojia ya Dijitali Katika miaka ya hivi karibuni, mchakato wa uchaguzi na shughuli zinazohusiana nao umepitia mabadiliko makubwa, yaliyosukumwa na maendeleo ya teknolojia ya dijitali. Hali hii imeleta mazingira mapya...
  13. Roving Journalist

    Maelezo ya Prof. Kitila Mkumbo akihitimisha Hoja ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo

    Maelezo ya Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Akihitimisha Hoja ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo Ijumaa, 10 Novemba 2023, Dodoma Mheshimiwa Spika, Ninaomba kukushuru wewe pamoja na wasaidizi wako, Mheshimiwa Musa Zungu (Naibu Spika), Mheshimiwa Najma Murtaza Giga (Mwenyekiti wa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Prof. Sospeter Muhongo: Mapendekezo ya Mpango wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    LEO BUNGENI: MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 - Mchango wa Prof Muhongo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameshauri yafuatayo: *Mipango yetu ya maendeleo ilenge kupunguza umaskini kwa kasi kubwa *Uwekezaji wetu ulenge kupunguza umaskini kwa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025

    "Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai "Ili...
  16. Tlaatlaah

    Maoni, mapendekezo na matakwa ya Watanzani yamezingatiwa kikamilifu kwenye Mkataba wa Bandari

    Serikali sikivu iliyopo Madarakani, kwa umakini mkubwa imesikiliza sauti, imezingatia maoni na imetekeleza matakwa na mapendekezo ya Wananchi wa Tanzania walio wengi kuhusu Bandari kikamilifu sana na kwa weledi wa hali ya juu mno. Sote ni mashahidi, kwenye suala la bandari mambo yamefanyika...
  17. G-Mdadisi

    Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  18. Venus Star

    Taarifa fupi ya utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi kilichoshughulikia masuala ya demokrasia ya vyama vingi nchini

    Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:- Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali. Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
  19. K

    Mapendekezo: For better performance, TRA igawanywe zipatikane mamlaka mbili, Mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi. Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa katika wizara ya nishati na wizara ya madini, iliyokuwa wizara ya ujenzi na uchukuzi ikigawanywa katika...
  20. Pascal Mayalla

    JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi...
Back
Top Bottom