tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. min -me

    JamiiForums Tanzania Kwa herini JF juzi nilienda hospital ya mhimbili nikagundulika na tatizo kubwa

    Madaktari bingwa waligundua 🤔 Sina mfupi wa kuishi , tatizo langu ni vibe la kulewa na kuwazindua , na daktari amesema niendelee tu nawazibua kwa afya zao
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Lipo tatizo katika siasa zetu,Kiwanda cha kusafisha mafuta kitajengwa Kenya.

    Heshima kwenu wanajamvi. Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya. Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu. Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi. Tayari Dangote keshatujua ndani nje...
  3. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali ichunguze hili tatizo la watoto kutapika na kuharisha hapa manyoni.

    Mode hide my id Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni maagizo, short of that the man is free as of today

    Mungu kasema hivyo. Kuwa leo kila kitu kimekamilika. Pilato kanawa mikono kuwa mtu huyu ni mtakatifu. Hata mtoto wa IJA analiona hilo tamko la Mungu wetu mkuu.
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ego: Kikwazo Namba Moja cha Maendeleo

    Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego. Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua. Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tibu Tatizo la kukosa usingizi usiku

    Kukosa usingizi kuna uhusiano na kushuka kwa madini ya magnesium hasa baada ya stress kadhaa. Maganda ya ndizi mbivu yana magnesium ya kutosha kurudisha kiwango cha magnesium mahala pake. Chukua maganda ya ndizi mbivu 4 Ongeza maji nusu Lita kisha tenga jikoni ukiwa umefunika Chemsha hadi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED NACTVET: Tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa, tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa na kwa sasa huduma zote zimerejea kama kawaida.Baraza linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania KERO: DODOMA JIJI- TATIZO LA MAJI TAKA YANAYOTIRIKA WAZIWAZI LIPATIWE UFUMBUZI

    Wakazi na wadau wa Jiji la Dodoma, kuna jambo ambalo kwa kweli linahitaji majibu na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika. Ukipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, ikiwemo NSSF, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), mfereji wa eneo la Soko la SabaSaba karibu na Nabaki Africa, Chako ni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Fremu za biashara KMC Complex zimefungwa kwa mwaka mzima licha ya kukamilika; kuna tatizo gani?

    Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali ambayo nimekuwa nikiiona kwa takribani mwaka mzima. Nilijaribu kufuatilia na kutaka kujua ni nani...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio kwamba Watanzania wanataka vurugu Watanzania wanataka tu option ya kuchagua

    Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania ND7GU YANGU WA DAMI AMESHAPOTEZA KUMBUKUMBU HANIKUMBUKI TENA. HOSPITALI WANASEMA NI TATIZO LA UBONGO; WHITE MATTER. Nifanye nini mwenzenu,

    1. Nina mgonjwa wangu hivi karibuni amepoteza kumbukumbu, hanitambui kabisa, na ni ndugu wa damu, nakaa nae nyumbani kwangu. 2. Kuna muda anapata nguvu za ajabu anataka kupiga vijana wake, hata dada yake 3. Kuna muda haongei kabisa 4. Kuna muda anaongea, maneno yake kwanini wanataka kumuua. Hapo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kuangalia information katika MKoba inasumbua. TCB/Vodacom tatizo ni nini?

    Ukiomba members contributions hupati , inazunguka mpaka session in expire. Au ndio utapeli mnaanza kutufanyia
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mussa: Warioba Tatizo Kuu la Watanzania

    Dkt. Khamis Mussa, mchambuzi wa masuala ya siasa, amemtaja Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba kuwa ni “tatizo kuu la matatizo ya Watanzania”, akidai kuwa sehemu kubwa ya changamoto zinazohusu Katiba nchini zinatokana na nafasi na maamuzi ya Warioba katika vipindi mbalimbali vya...
  16. bullbar

    JamiiForums Tanzania Tatizo humu kila mtu tajiri..ila ningewapa conection za wateja na namba zao!

    Haya mchongo huo hapo msije sema sijawasanua.
  17. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Tatizo la iPhone 14 kutochaji tatizo linaweza kuwa nini? Nimejaribu Njia zote

    Wakuu habari, Nina iPhone 14 ambayo imeacha kuchaji kabisa. Nikiweka cable kwenye charging port haichaji kabisa. Nimejaribu njia zote lakini bado haichaji. Kwa wenye uzoefu na iPhone 14, tatizo kama hili linaweza kuwa nini? Naomba msaada hasa kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili na...
  18. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tafakari Jadidifu-Je CCM Ndio Tatizo au Wana CCM Ndio Tatizo?

    Nimeweka Kakura Kadogo Hapo Kaende Pamoja na Swali Letu Je kwa Upande wa Nchi yetu na Changamoto zetu,Je CCM Ndio Tatizo au Wana CCM Ndio Tatizo? Kama CCM Ndio tatizo Kikibadilishwa Jana Utakuwa sawa tuendelee kutawaliwa kama tulivyo? Kama Wana CCM Ndio tatizo Je Tukiwaondo wote na kisha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Huduma ya Mwendokasi Kimara–Mlonganzila

    Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria. Tunapokwenda kuulizia kwa kiongozi wa kituo, mara nyingi tunapokea majibu yasiyoridhisha, ikiwemo...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza pale Nchimbi alipomchana ukweli Rais Samia.

    Ukweli huu unauma.👇
Back
Top Bottom