mwalimu

  1. C

    Excel kupanga matokeo, divisions na points

    Watu wengi wamekua wakiuliza swali hili, hasa wale wanaofanya kazi kama waalimu, ambao wanatakiwa kuwa-grade wanafunzi kulingana na matokeo ya mitihani kwa kutumia Microsoft excel. Nimeona watu wengi wametoa maelekezo kwa kutumia function ya "If" na ndiyo niliyokua naijaribu katika kutatua...