abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA YAMNASA ABIRIA JKIA NA iPHONE ZA Sh8.2M - KWANI KUNA KOSA?

    Mamlaka ya ukusanyaji wa kodi KRA imenasa iPhone 40 aina ya iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max zenye thamani ya takriban Sh8.2 milioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Kilichowafanya maafisa wa forodha kumtilia shaka abiria huyo si mizigo pekee, bali pia ratiba yake...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WATANZANIA 2 WALIOKAMATWA MOMBASA KWA KUDUWAZA ABIRIA NA KUWAIBIA KUZUILIWA SIKU 21 - Mali ya Zaidi ya Sh2M Yadaiwa Kuibwa

    Mahakama ya Mombasa imewaruhusu Polisi kuwazuilia kwa siku 21 raia wawili wa Tanzania wanaoshukiwa kuhusika na madai ya kuwaduwaza abiria wa mabasi na kuwaibia mali zao. Uamuzi huo unawapa wachunguzi muda zaidi wa kukamilisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo linahusisha mali yenye thamani ya zaidi...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Mabasi, case study Japan!

    Japani wanavyofanya wakileta tanzagiza madereva sijui watasemaje kwa mfano, ni hivi japani kituo cha mabasi kama kile cha mbezi kuna kituo cha polisi ambacho kina dirisha la kioo kama vile dirisha la bank teller, asubuhi madereva wakifika kitu cha kwanza wanakabidhi leseni kwa trafiki polisi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ajira 360 Mwendokasi: Madereva na Maafisa Abiria

    Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Abiria wanaopanda bodaboda wasio na leseni nao watozwe Faini. Kabla hujapanda boda, uliza leseni kwanza

    ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leseni ni kama kadi tuu. Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa. Haya mambo mtu anajifunza...
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi kuwatungua🫵🫵😎. Picha hii hapa inajieleza.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki

    Kuna kundi la vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ambao huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki binafsi kuwapeleka abiria wanaosafiri. Vijana hao, ambao hawana utambulisho rasmi, hujifanya kuwa askari na wanapokamata chombo, hasa pikipiki, hukisogeza eneo la vyoo. Baadaye...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria wa basi la Nayrah T 103 EGM Arusha to Dar es salaam hatujatendewa haki

    Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Basi la Abood lagongana na IST wakati dereva 'aki-overtake', Watu wanne wafariki Dunia

    TAARIFA KWA UMMA AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju Sokoni Kinondoni Dar es Salaam basi lenye namba T 235 EMJ aina ya Yutong mali ya Kampuni ya Abood...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Migomo ya daladala, Bajaji haziibi wateja ila ni daladala kutumia muda mrefu kujaza abiria, Bajaji inatumia dakika 20 tu, Daladala saa zima

    Muda ni wa thamani sana, abiria huona ni bora kulipia 1500 ya bajaji kuliko buku ya daladala, safari ni ile ile lakini bajaji itatumia dakika 20, daladala saa zima
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  18. R

    JamiiForums Tanzania KERO Video: Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?

    Inasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho za watu wasio na hatia. Yaani jamaa icha ya kushtukiwa na kuelezwa bado anamshipa wa kujibizana kwa...
  19. cEHO

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya Bajaj Stendi ya mabasi Magufuli: Nani anapaswa kulipa?

    Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi. Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa waendesha bajaji inaonekana kulipwa na abiria, badala ya kubebwa na mwenye bajaji ambaye ndiye anayefanya...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo: Ushuru wa Bajaj Mbezi Stendi ni Tsh. 500 inayoshusha abiria na Tsh. 2,000 kwa siku

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
Back
Top Bottom