club

A club is an association of people united by a common interest or goal. A service club, for example, exists for voluntary or charitable activities. There are clubs devoted to hobbies and sports, social activities clubs, political and religious clubs, and so forth.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

    Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki. Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala. Azam...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Khitma ya Saigon Club

    https://youtu.be/nV8Z9H6wIRU
  3. albab

    JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC. Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Sports Club yashiriki ufunguzi wa Michezo ya 40 ya SHIMIWI Kilimanjaro

    Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na maandamano ya wanamichezo wote wanaoshiriki michuano hiyo mkoani Kilimanjaro. Maandamano ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mgogoro waibuka Moshi Club ,wanachama watoa siku 14 kwa menejimenti

    MOSHI Moshi Sports Club imeingia kwenye mvutano wa kiutawala baada ya wanachama 16 wa klabu hiyo kuwasilisha malalamiko kwa Trustees, wakidai kuwa uchaguzi wa viongozi haujafanyika kwa mujibu wa masharti ya katiba ya klabu. Wanachama hao, kupitia barua yao, wanasema kutofanyika kwa uchaguzi...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Bora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Club Imeuzwa, Lakini Madeni Yameachwa? Nairobi City Stars Players Wataka Majibu

    Wachezaji wa zamani wa Nairobi City Stars wameibua madai kwamba bado wanadai mishahara na allowances walizopata katika msimu uliopita—takribani miezi mitatu baada ya kuahidiwa kuwa arrears zao zingelipwa. Mmoja wa wachezaji, ambaye ameomba kutotajwa, anasema club iliwalipa mshahara wa mwezi...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Club African yasingizia Ebola hili kubadilishiwa uwanja dhidi ya TP Mazembe

    Club Africain ya Tunisia yaomba kubadilishuwa uwanja dhidi ya TP Mazembe kwa kisingizio cha Ugonjwa wa Ebola, mechi hiyo ilipangwa kupigwa pale Lubumbashi ila Club Africain wametaka uwanja ubadilishwe
  9. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa karibu na Leaders Club, Kinondoni – Bei tsh bilioni 5

    🔥Tunakuletea🔥 NYUMBA INAUZWA IPO KARIBU na LEADERS CLUB KINONDONI LAMI MPAKA MLANGONI IPO MAENEO TULIVU SAANA USHUANI Umiliki (HATI SAFI) (MIRATHI HALALI) Kiwanja (SQM 1,935) 👉Price (Billion 5) Maongezi kidogo Call/WhatsApp +255758844717
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club maskini timu yangu😭

    Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮 Note ..endeleeni kushabikia matajiri wajinga kwenye soka, viva epl clubs✔
  11. bullbar

    JamiiForums Tanzania Mangungu lazima abaki Simba sports Club

    Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya Club ya Simba?

    Nimeona hii taarifa kwenye official page ya Club,mwenye kujua kwa undani nini kimefanyika huko Bunju.
  13. Club Mate

    JamiiForums Tanzania Club Mate's Geography Quiz: Onesha utaalamu wako, mdau!

    Day 1 Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi kwa pamoja atapata points 10 kwenye leaderboard. Tumpate bingwa wa jiografia wa hapa JF. Leaderboard...
  14. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua kukesha club si sawa kwangu

    Ilikua mkesha wa pasaka. Mwanangu Zombie akanicheki like always, Oyaa location wapi leo? Nikamwambia wewe tu mwanangu master plan. OK sawa man tutazama mbeya pazuri.. (at that time nilikuwa naishi mbeya). By that time nilikuwa nilisha break up na demu wangu, i just numbed the pain by parting...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nimepita Leaders club, hivi Makonda kamshauri Rais pajengwe kitu gani?

    Hii nchi ni una mataila, Nimepita Leaders club, nmekuta kinachojengwa ni ushuzi mtupu, nauliza naambiwa ni maandalizi ya Afcon real? Rais kashauliwa na kashaulika real? Makonda Makonda kumanyokooo
  16. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

    Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine Kifupi Vietnam nimeenda Mara mbili Moja ni awali kabla sijampata mnyarwanda Na ya pili nilimpeleka mnyarwanda aka pate kutoa...
  17. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Ibilisi ametia nanga Velvet club Sinza

    Hatimaye vacation yangu ndani ya Dasalamu imeharibika rasmi na kuingia nuksi baada ya kujichanganya na kukanyaga Velvet club Sinza! Muhudumu anakuja kukusikiliza huku anakuletea nyonyo kifusi zimazima usoni. Kisha mkwanja wa bili unatakiwa uuchopeke katikati ya mtindi. Mbaya zaidi na...
  18. Da Dona

    JamiiForums Tanzania FALSE Kai Havertz: Without me, Chelsea wouldn't even be Club World Cup Champions

  19. M

    JamiiForums Tanzania Club de nuit intense man Club de nuit limited edition Club de nuit urban elixir Club de nuit intense man Untold

    Wakuu naomba ushauri hapo na wapi napata ogiiina contact hasa waliotumia naomba ABC
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu ujao club bingwa boresheni point zenu walau zifike 9 sasa tumechoka

    Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia. Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
Back
Top Bottom