muungano

 1. M

  Askofu Kakobe: Nipo tayari kukatwa Kichwa kuliko kumuabudu Nyerere, Kosa kubwa ni kuondoa Mipaka ya Tanganyika!

  Katika Ibada Kuu ya Pasaka ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Mwenge, Dar-Es-Salaam; wakati wa Neno la Pasaka 20.4.2014, lenye kichwa, "JE, KUIDAI TANGANYIKA NI HALALI KATIKA MPANGO WA MUNGU?" Askofu Mkuu Zachary Kakobe wa Kanisa hilo, pamoja na mambo mengine, alizungumza kuhusu...
 2. Rev. Kishoka

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Una Faida gani na kwa manufaa ya nani?

  Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo lango si...
 3. majebsmafuru

  Mh. Saada Mkuya aja tena na swali la KIBAGUZI

  Ni wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake... Yaonekana hakujifunza wala nini, leo kaja na swali la KIBAGUZI lililomfanya Mh. Mbarawa kustuka, kuhamaki...
 4. R

  Kusema ukweli, hadi leo sijui ni kivipi Ndege inapaa wakati mimi nikinyoosha mikono na kujaribu...

  Hebu wanasayansi nifafanulieni mtoto wenu wa Tanzania...sio kwamba ni mshamba....but mwanzoni niliamini Ndege hupaa kwasababu ya Propeller, either ile ya mabawa au ile ya Panga k.v. Hellcopter...iweje mm nikijaribu siwezi?? Nimeshawahi hadi kujivisha Puppets za propeller na kukimbia umbali mrefu...