Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7.
Makonda...
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
bank
crdb
gharama
heche
igp
jeshi
jeshi la polisi
jeshi la polisi tanzania
kufuru
kuhusu
mange
mange kimambi
meza
mkuu
mkuu wa
polisi
polisi tanzania
sawa
sio
statement
tanzania
vinywaji
wambura
Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa kwa vimemo.
Tunaweka pesa zetu kwa trust ila CRDB wameamua kujifanya wamejizima Data kwa hili...
Inashangaza sana CRDB kulaumiwa na hizi nyumbu za ufipa. Risiti na payin slip ni mali ya mteja na benki haihusiki kabisa na hilo. Kama ni lawama apewe Salman kwa sababu yeye ndo alimwekea pesa Heche. Halafu nimeona branch ni LUMUMBA. Inawezekana Heche ni mwanaCCM mwenzetu na huwa anafika ofisi...
Habari ndugu,
CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).
Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu...
Mfumo wa kupata namba ya foleni (kikaratasi) unapokwenda CRDB kupata huduma una changamoto. Unakuta mfumo unaonyesha muda wa kusubiri ni dakika 11, lakini unapata huduma baada ya zaidi ya saa moja.
Hii ni kero kubwa kwa wateja. Karibu matawi yote ya CRDB yanaonekana kuwa na changamoto ya kasi...
Je, ipi ni Marathon kubwa zaidi Tanzania? Kilimanjaro Marathon au NBC Dodoma Marathon au CRDB Marathon?
Kwa miaka kadhaa sasa, Tanzania imekuwa na mbio za marathon zinazovutia maelfu ya washiriki kutoka ndani na nje ya nchi. Miongoni mwa marathon zinazozungumzwa zaidi ni Kilimanjaro Marathon...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA CRDB
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 20, 2026 amekutana na viongozi wa Benki ya CRDB katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, wamejadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuendelea...
Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000.
Pili nilijaribu USSD yao *150*03# bila kuangalia Salio, nikakutwa pia...
Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika.
Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
Kuna dada mmoja mitandao kalalamika kuibiwa pesa zake kwenye account za CRDB .Baada ya kupost aisee comment zilizokuwepo hapo.
Unaweza kuogopa kuweka pesa CRDB.
Kati ya Timu nne zitakazoiwakilisha Tanzania kwenye mechi za CAF ni Azamu tu ndiyo hadi sasa hivi haina tuzo yoyote. Angalia
(1) YANGA: Community Shield, Mapinduzi, na NBC Premier
(2) SIMBA: Muungano
(3) AZAM: .................
(4) SINGIDA BS: CECAFA
Itapendeza sana iwapo Azam nayo angalau...
Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa
Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani
Mara hii nimejaribu kununua
umeme kwa mara 4 zote sipati majibu yeyote
Mlituwekea huduma hii ya kazi gani?
Mnakera sana ninyi.
Mpango wetu ulienda kama ambavyo tulipanga. Scratch my back and i will scratch yours.
Azam atufunge Shirikisho apite akapambane na Simba akachukue kombe akashiriki Kimataifa. Maana amewekeza sana kwenye usajili. Ni aibu akikosa shiriki CAF. Na ushindi wake kwetu usingemsaidia kitu kwenye ligi...
Ofisi ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, imewakilishwa na Kerryn Mbatude katika kikao na Benki ya CRDB kilicholenga kuzindua rasmi ushirikiano wa kuwawezesha wananchi wa Buchosa kiuchumi kupitia mikopo kwa wajasiriamali.
Akizungumza kwa niaba ya Mbunge, Kerryn Mbatude amesema Shigongo...
Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee.
Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM.
Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu.
Sielewi kwa kweli maana...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdulmajid Mussa Nsekela, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), hatua inayotafsiriwa kama ushahidi wa namna taaluma, utawala bora na uongozi wa kimkakati vinavyoweza kuibadilisha taasisi ya kifedha na kuleta...
Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB
Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa.
Ni takribani wiki ya pili sasa baadhi ya wanafunzi wanaotumia...
Anonymous
Thread
boom
crdb
heslb
kuchelewa
kuhusu
majibu
mbeya
must
wanafunzi
wanafunzi wa must
watumiaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.