Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR).
Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
Ndugu zangu wa JamiiForums,
Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
Je,
ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni?
Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake?
Na,
kwanini aliitanguliza...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Yammi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kusambaa kwa video inayomwonyesha akiwa ndani ya gari huku akijirekodi na kuimba wimbo.
Baada ya video hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, mashabiki na wafuasi wengi walianza kuibua mjadala na tetesi za...
Habari yenu ndugu zangu natumaini mnaendelea vizuri
Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi nchini, japo vyama vingi vilishiriki uchaguzi ule ila mchuano mkali ulikuwa kati ya mgombea wa CCM na mgombea wa muungano wa UKAWA.
Kwa kweli uchaguzi ule ulikuwa mzuri sana (nazungumzia kwa upande wa bara acha...
=================
(Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste)
KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA?
Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?”
Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
Hamjambo!
CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao.
CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili.
Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa...
Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT.
Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole?
Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi?
Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT
Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi
Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi
Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais.
Ndejembi...
N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia.
Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo
MWIGULU
GWAJIMA
PAUL MAKONDA
RHIMO NYANSAHO
Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu.
Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu kufungwa kwa ndoa hiyo ambapo katika mahojiano maalum na Vogue, amesema...
Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani
Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake.
Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA"
Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha ajabu unakuta ndio barabara ambazo hata viongozi hutumia kwenda kwenye shughuli zao.
Nitolee mfano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.