Wakazi wa Mkuranga Mkoani Pwani maeneo ya Mipeko (MSIKITI wa KIPATI) tuna changamoto ya umeme, ni mdogo sana (low voltage) ni shida, ikifika Saa moja Jioni unakatika na kurejea Saa 6 Usiku.
Giza linasababisha kutokuwepo kwa usalama katika baadhi ya maeneo, watu wanafanyiwa uhalifu.
Umeme...
Anonymous
Thread
kubwa
kuweka
mdogo
mkuranga
mwaka
pili
tanesco
umeme
Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa nini wanakata umeme wanaharibu vyakula vyetu.
Anonymous
Thread
mjini
mtaa
mtwara
mtwara mjini
sana
tanesco
umeme
vitu
TANESCO wametuunga na wengine tumejoin wenyewe katika magroup yao ya TANESCO huku Masasi Mkoani Mtwara, tukilalamika humo hakuna kusaidika, hapa tu wametoka kukata umeme, wanakata sana, hivi kweli kuna uzalishaji hapa wa kueleweka?
Vitu vinaungua mara kwa mara kutokana na mtundo wao wa kukata...
Wakuu.
Ikitokea, haujaridhishwa na mwenendo wa Bei ya mafuta, na unataka gari ambalo 99% misele Yako ni mjini bila kwenda nje ya mkoa wako, na unakaa Nyumba ambayo unaweza kupark gari na kuchaji, basi moja kati ya EV hizi zitakufaa;
1. Nissan Leaf (2018 - 2024)
Ni vizuri kuanza na gari...
Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V).
Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
Anonymous
Thread
low voltage
maarufu
maeneo
mdogo
msikiti
sana
sauti
umeme
wakazi
Kuna mpango unaendelea wa kundi la wahuni, unapanga kuchoma transformer za umeme october 29/2026
Mpango huu ni wa kulaani kwa nguvu zote kwasababu utalaza wananchi giza kwa muda usiokuwa na kikomo
Wananchi mlioko karibu na transformer za umeme kuweni walinzi kwasababu transformer mnazoziona...
Imeshapita zaidi ya miaka Tisa tokea Tesla watuahidi wanatuletea Tesla Semi. Sasa the wait is over.
Juzi (Sept 24) kwenye event ya Tesla Nevada Gigafactory, Tesla wamesema delivery ya semi unaanza week hii, na watatengeneza Semi 50,000 kwa mwaka.
Makampuni makubwa kama DHL na PepsiCo...
Bentley nao wamejoin EV race, officially wamezindua Bentley Torcal, ambayo ni fastback SUV, na ni Bentley yenye torque kubwa kuwahi tengenezwa.
Inakuja na 870 HP na 1,350 Nm za torque, zinazokupa acceleration ya 0-100 km/h chini ya sekunde 3.
Namba ova za sports cars, ila hii ni SUV, Ina...
Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya kuunganishiwa umeme ni Shilingi 150,000.
Kwa hiyo, kwa kiasi kikubwa, watu wengi hawajaweza...
Anonymous
Thread
kagera
karagwe
mkoani
mkoani kagera
umeme
vijijini
wananchi
wilaya
wilaya ya karagwe
Mradi wa umeme wenye thamani ya Sh bilioni 8.4 unaotekelezwa na TANESCO katika Jibondo, Mafia – Pwani, umefikia asilimia 82 ya utekelezaji. Mradi huo unatarajiwa kuwafikishia umeme wananchi zaidi ya 3,000 na kuchochea shughuli za uvuvi, biashara pamoja na uchakataji wa mazao ya baharini, huku...
Gharama ya umeme inatarajiwa kupanda tena kwa mara nyingine kwa watumiaji wa majumbani na viwandani.
EPRA imezindua tozo mpya zitakazoongeza bei kwa takriban Sh4.16 kwa kila uniti (kWh) kwa mita zote zitakazosomwa Septemba 2026.
Ongezeko linachangiwa na tozo ya mafuta (KSh 3) na mabadiliko ya...
Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara.
Kwa wastani, tunapata umeme kwa takribani siku nne pekee kati ya siku saba za wiki. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara...
Anonymous
Thread
eneo
huduma
huduma ya umeme
jiji
jiji la mbeya
makete
mbeya
sana
umeme
Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu.
Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
Kama ushawahi zielewa Volvo XC60 SUV, nadhani utaipenda hii EV ya Volvo, EX60.
Ipo kwenye Platform ya Volvo SPA 3, kwahiyo inashare na best selling Volvo EV Polestar 7, na zinakuja either RWD yenye motor moja nyuma (560 HP) au AWD yenye motor mbili, moja matajiri ya nyuma na nyingine mbele...
Je huko sehemu zingine za Dar vipi?
Umeme wa Tanesco upo?
Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii.
Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la kuzalisha umeme, bado tunashuhudia kukatika kwa umeme mara kwa mara. Hali hii inasikitisha na...
Anonymous
Thread
bila
bila sababu
kukata
maeneo
sababu
tanesco
umeme
Cha bure gharama
Kama VISHOKA WALIWAUNGA WAKAWADANGANYA
TANESCO WAMEANZA MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA
MAENEO TAJWA
NA SASA HUKO MWANZA NAKO KUMEKUCHA MJIPANGE WANATEMBEA NA MAPOLISI
Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti
"Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao, wanabeba mabegi ya madaftari, na kuelekea shuleni kutafuta ufunguo wa maisha yao ya baadaye. Lakini...
Huku kwetu NGERNGER MOROGORO BADO TUNA TESEKA SANA NA TATIZO LA UMEME BILA TAARIFA WALA MAELEZO YOYOTE.
BADO TUNAISHI GIZANI KAMA ZAMA ZA MAWE.
MAREKEBISHO NI JIBU FUPI TANESCO NDILO WANALO JIBU.
HAWANA MUDA WALA SAA MAALUMU NA BILA KUJALI WAO WANA SITISHA HUDUMA VILE WAONAVYO.
Vyote ni katika kujenga career yenye turn over ya 2M -5M per month kwa mtaji wa million 10.
1.auto electrical repair
Kuwa na ujuzi wa umeme wa magari, then kuuza spare au accessories za magari kwanza ni kuwa na ujuzi ndio pesa iwekwe kwenye biashara.
2. Bajaj repair
Kutokana na ongezeko za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.