nyerere

  1. F

    Machi hadi juni 1973 kwa nyakati tofauti Burundi ilituma ndege za kijeshi kuivamia Kigoma. Nyerere atumia busara kubwa

    Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma. Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi. South Africa na Msumbiji zilikuwa bado chini ya serikali za kikoloni huku Rais wa Kenya Jomo Kenyatta akimuonya...
  2. Mohamed Said

    Historia ya Julius Nyerere (1922 - 1999)

    HISTORIA YA JULIUS NYERERE (1922 - 1999) Kuadhimisha Nyerere Day In Shaa Allah kuanzia tarehe 1 Oktoba nitakuwa naweka video ambazo nimemzungumza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama nilivyohifadhi historia yake Maktaba. https://youtu.be/bQlNnpWluCE
  3. nipo online

    Update update kutoka America percel. Nimepigiwa simu eti mzigo upo mwalimu nyerere airport. Kutoka kalifonia.

    Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu...
  4. Q

    Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42

    Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru. Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa. Halafu ndani ya miaka...
  5. milele amina

    Moshi: Uwanja ulijengwa na Mwalimu Nyerere ,Leo wasiojua wanaongea wasilolijua!

    Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU! Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani? Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote. Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi...
  6. L

    Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  7. kavulata

    Kama Mwl. Nyerere angekuwa hai angemwambia Cyril Ramaphosa acha ujinga, mwache Zuma

    Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma, dhambi hii itaimaliza South Africa na hasa chama tawala ANC. Kama Mwl Nyerere (RIP) angekuwepo bila...
  8. Nyanda Banka

    Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi KUSEMA hivi

    “DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”. Hayati Baba Taifa Mwalimu Julius K Nyerere (1922 - 1999)
  9. milele amina

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro anatakiwa kuwa na sifa hizi

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro hujulikana kwa sifa kadhaa, ambazo ni pamoja na: 1. Elimu: Mara nyingi, inatarajiwa kuwa mwenyekiti ana elimu ya juu, kama digrii katika fani zinazohusiana na elimu, siasa, au sayansi ya jamii. Ingawa umakini zaidi...
  10. M

    Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  11. W

    KWELI Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama chake tangu 1954 mapaka 1977

    Kumekuwa na post ya Jenerali Ulimwengu aliyoichapisha kwenye mtandao wa X kwamba Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama chake kuanzia mwaka 1954 mpaka 1977, ukweli wa kauli hii upoje?
  12. Mohamed Said

    Siku Ilipodhaniwa Nyerere Kalishwa Sumu

    Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes. Angalia video hiyo hapo chini: https://youtu.be/Wx6imbCTAB8?si=ZsvZBYeYdvthGtAv
  13. Mi mi

    Huwezi nishawishi Nyerere alikuwa Rais bora

    Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana. Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora. Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo. Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere...
  14. OLS

    Kuna kero za Muungano au Muungano ni kero?

    Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar. Wakati awali Karume alikuwa makamu wa Rais, leo Zanzibar ina Rais kamili na ina makamu wako. Na hiki ndicho chanzo cha...
  15. BICHWA KOMWE -

    Sitasahau nilivyochafua hewa ukumbi wa Mwalimu Nyerere

    Tulikuwa kwenye hafla moja ya kikazi hapo dar, maafsa wote tulialikwa kwenda kushiriki na kutoa hoja za kimijadala. Nilikula suti yangu kali na moka za kuchongoka, huku kakitambi nacho mashallaaah, na nyuma nalo wowowo limo basi nikawa nanesa tu, Singida dodoma, Singida Dodoma, Weweeee...
  16. P

    Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo. Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni nchi ikiwa vizuri. Je, Uongozi ulimshinda? Soma Pia: Kumuelewa...
  17. econonist

    Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

    Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou...
Back
Top Bottom