Naomba utaratibu wa kuhudhuria arobaini ya mzee wangu Mwinyi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,486
20,438
Tukiwa tunaelekea arobaini ya mzee wetu Mwinyi nilikuwa nataka kupata utaratibu wa kushiriki.

Sikupata nafasi ya kukutana na rais Mwinyi kumpa pole kama walivyofanya watu wengine sababu ya ubize lakini nataka kujitahidi kushiriki 40.

Ningependa kufika ikulu ya Zanzibqr siku moja kabla ya 40.

Ramadan njema wadau.
 
Mzee (Babu yetu) Al Marhuum Ali Hassani Mwinyi, akuacha Mtoto Wala Mjukuu anae tambulika kwa Jina la Msaga Simu.

Hii arobaini haikuhusu tafadhali...
 
Back
Top Bottom