samia

 1. tpaul

  MATAGA wadhibitiwe, wanamkwamisha Rais Samia Suluhu

  Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe. Baada ya mwendazake kufanikiwa kuiharibu hii nchi kwa kubaka Uchaguzi Mkuu wa 2020, sasa CCM inaongoza nchi nzima kuanzia Balozi hadi Rais. Mwendazake aliwahi kusema kwamba CHADEMA ndio wanamkwamisha kuwaletea wananchi maendeleo, hivyo akaamua hata...
 2. ROBERT HERIEL

  Mama Samia; Unapoteza Muda wako kama hutofanyia kazi hili,

  MAMA SAMIA; UNAPOTEZA MUDA WAKO KAMA HUTOFANYIA KAZI HILI, Kwa Mkono wa, Robert Heriel Miaka mitatu iliyopita niliandika makala yenye ujumbe wa namna hii nikimtonya aliyekuwa Rais wa wakati huo, Hayatti John Magufuli. Nilimwambia JPM kuwa anapoteza muda wake tuu, na nilizifananisha mbio zake...
 3. THE LOST

  Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

  Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je, unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe...
 4. Naipendatz

  Nyamagana, Mwanza: Bendera ya CHADEMA yaonekana kwenye mkutano wa Rais Samia

  Kwa mara ya kwanza since 2016 leo nimeona bendera ya CHADEMA inapeperushwa sehemu ambayo Rais anahutubia, heko Mama samia, juhudi zako za kuirudisha demokrasia iliyominywa kwa kipindi hicho zinaonekana. Hii ina maana kwamba wateule hawana hofu na unafiki tena kwa mamlaka ya uteuzi (Enzi za...
 5. S

  Ni Lipi akilifanya Mheshimiwa Raisi Samia Utamkubali ??? Kura ya Uraisi ukampa yeye ya ubunge ukaipeleka kwa Chama chako

  Tuwe wananchi huru,unahisi au kufikiri ni jambo gani Raisi Samia akilifanya basi uhakika wa kumpigia kura kwa kipindi kingine utakuwepo na kura zingine za wabunge na madiwani ukazipeleka kwenye chama chako pendwa. Kwa upande wangu akiliinglia suala la Mashehe wa Uamsho na kuhakikisha...
 6. S

  Kumbe mambo haya yanaogopwa na Serikali ya CCM chini ya Samia - Wananchi wasije kuamka

  Kutambua haki zao kikatiba,kudai katiba mpya na kudai Tume huru ya Uchaguzi ,hadi sasa serikali inaogopa sana wananchi kwa ujumla wao wakafikia kusimama kidete kudai katiba mpya na kudai tume huru ya Uchaguzi inayokubalika na vyama na wananchi wote. Haya yanayotokea sasa teuzi kubadilisha huyu...
 7. GENTAMYCINE

  Kwanini Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawakohoi ' Wakihutubia ' kama ilivyo kwa Marais Kikwete, Magufuli na Samia?

  Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali. Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu. Nimeangalia...
 8. Replica

  Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

  Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
 9. THE LOST

  Kwanini Rais Samia amesema hataki mabango, Je hii ndiyo demokrasia?

  Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao? Mabango ni haki ya wananchi kueleza...
 10. Rebeca 83

  Rais wetu Samia, tafuta muda wa kupumzika

  Hello JF, SIjui kama nyie mme observe kama mimi? Mama yetu ana movements nyingi mno. Sijui kasafiri na kuona watu/vikundi vingapi ndani ya hii miezi mitatu ya Urais Mama you cant do everything and be everywhere. I feel like you want to prove a point, kuwa ni Rais wa tofauti na watu wakuone...
 11. mdudu

  Raisi wetu Mama Samia Mtumbue Ally Hapi kabla hujamuapisha

  Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa. Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana. Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye...
 12. Geza Ulole

  Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

  Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
 13. masopakyindi

  Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi, Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

  TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
 14. Elitwege

  Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

  Habari wadau, Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya. Unaenda mwezi wa pili sasa Mbowe alishazunguka kanda nyingi lakini hakuna kanda hata moja walipoonekana wakipokea Wanachama...
 15. chakii

  Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

  .
 16. Geza Ulole

  Kwanini nafurahia zawadi za Rais Samia kwa wageni wake

  Zawadi zake haziteketezi miti ya Mpingo (blackwood) kama kipindi cha Mwendazake ambapo alikuwa akiangusha miti kutengeneza zawadi ya vinyago kwa Marais na wageni wake. Hiki kitu kilikuwa kinaniuma maana ilikuwa ni uharibifu wa mazingira! VS
 17. DustBin

  Ni mapema sana kumlaumu Rais Samia Suluhu Hassani

  Mama bado yupo kwenye hatua ya awali ya kuweka mambo sawa, hivyo ni mapema kuanza mpa lawama kwa hili na lile. Kwa namna ratiba ya Mhe. Madam President ilivyo tight isingewezekana mtu akiomba kukutana nae kwa tarehe anayooitaka ndio iwe. Muda wa kuwa Mhe. Raisi ameahidi kukaa na watu wa vyama...
 18. Mtu Asiyejulikana

  Tulimkosoa Hayati Magufuli na sasa tutamkosoa Rais Samia. Kama mtaumia poleni sana Tanzania Kwanza

  Kuna watu wanataka kuuaminisha Umma kuwa Rais Samia Suluhu hakosei. Hawa watu kwa kuendelea na upuuzi ule ule kwa waliokuwa wanazi na mashabiki wa Magufuli ambao nao walikuwa wanataka kuuaminisha Umma kuwa hakuwa akikosea. Watanzania wengi wanajikita katika Ushabiki, Mahaba, Jazba, Mihemko na...
 19. Countrywide

  Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

  Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta. Hadi haoaa itoshe kusema...
 20. C

  Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

  Habari wana JF, Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda. Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo. Nchi hii bado ni...
Top Bottom