Naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka shule binafsi kwenda serikalini

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
2,480
3,114
Habari!

Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school).

Kijana analelewa na Bibi mlezi sasa yule bibi umri umeenda na msaada alikuwa anapata toka kwa watoto wa huyo bibi ambaye kwa sasa mambo yao hayako vizuri.

Mimi kama jirani nimeguswa kufatilia utaribu huo. Au kama kuna mtu ana connection ya mtu wa Halmashauri pale Pwani idara ya elimu nitashukuru. Kwa upande wa Saranga Sec wenyewe wanasubiri barua toka Pwani maana ndiko kijana alikokuwa anasoma kuja Dar es Salaam.

Nitashukuru. Ili nianze kumfatilia utaratibu kijana apate nafasi ya kusoma secondary maana nasikia utaratibu wa uhamisho umebadilika hasa kwa Private school kwenda Governament school.
 
Mimi kama jirani nimeguswa kufatilia utaribu huo.
Au kama kuna mtu ana connectio ya mtu wa Halmashauri pale pwani idara ya elimu nitashukuru.
wewe kama jirani ulieguswa kwa nini usiende pale HALMASHAURI ukapewa utaratibu mzima

na ni ofisi ziko wazi kabisa, ni ushauri lakini
 
Habari!

Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school).

Kijana analelewa na Bibi mlezi sasa yule bibi umri umeenda na msaada alikuwa anapata toka kwa watoto wa huyo bibi ambaye kwa sasa mambo yao hayako vizuri.

Mimi kama jirani nimeguswa kufatilia utaribu huo. Au kama kuna mtu ana connection ya mtu wa Halmashauri pale Pwani idara ya elimu nitashukuru. Kwa upande wa Saranga Sec wenyewe wanasubiri barua toka Pwani maana ndiko kijana alikokuwa anasoma kuja Dar es Salaam.

Nitashukuru. Ili nianze kumfatilia utaratibu kijana apate nafasi ya kusoma secondary maana nasikia utaratibu wa uhamisho umebadilika hasa kwa Private school kwenda Governament school.ulipta

Habari!

Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school).

Kijana analelewa na Bibi mlezi sasa yule bibi umri umeenda na msaada alikuwa anapata toka kwa watoto wa huyo bibi ambaye kwa sasa mambo yao hayako vizuri.

Mimi kama jirani nimeguswa kufatilia utaribu huo. Au kama kuna mtu ana connection ya mtu wa Halmashauri pale Pwani idara ya elimu nitashukuru. Kwa upande wa Saranga Sec wenyewe wanasubiri barua toka Pwani maana ndiko kijana alikokuwa anasoma kuja Dar es Salaam.

Nitashukuru. Ili nianze kumfatilia utaratibu kijana apate nafasi ya kusoma secondary maana nasikia utaratibu wa uhamisho umebadilika hasa kwa Private school kwenda Governament school.
Nina jambo kama lako kwasasa,naomba kujua je ulipata iliwezekana Kumhamisha Mtoto kutoka shule binafsi kuja serikalini na je Ulipata utaratibu gani?
 
Naona utaratibu mgumu! Kuna mtu alikwenda kufatilia nitakupa jibu kesho.
 
Back
Top Bottom