taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) 2026

  2. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zinazoongoza kwa wafanyakazi kuwa na maringo na masifa hapa Tanzania

    1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo taasisi huwa wanajiona kama wanafanya kazi mbinguni vile yani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania Polisi muwe na aibu mmekuwa waongo kupindukia kwa unyeti wa taasisi yenu hamkupaswa kuwa waongo hivyo, dereva tu anapata wapi ujasiri kuteka?

    Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
  5. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA DUDUBAYA: Anzisha Taasisi ya Malezi ya vijana wa Kiume.

    Habari wakuu? Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak. Kwa kweli kwa sasa hili limekuwa janga kubwa sana. Tabia za kishoga zimeshamiri sana. Na bahati mbaya sana...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mzozo Taasisi vs Wanaharakati

    Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Ithibati fuatilieni Taasisi za Wanahabari (Press Clubs), Waandishi wengi ni “Makanjanja” hasa Mara

    Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uongozi wa Wanawake kwenye taasisi huleta faida zaidi | London Stock Exchange

    Kafulila: Taasisi Inayoongozwa na Mwanamke Huleta Mafanikio zaidi. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akihutubia katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amesema kuwa taasisi yoyote itakayoongozwa na mwanamke kwa...
  10. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Kamati ya Bunge ilitaja Benki ya Mkombozi, iliyo chini ya Kanisa, kuwa ni taasisi ya utakatishaji fedha, ilikanushwa?

    Friends and Our Enemies, Katika pita pita yangu leo nimemkumbuka marehem Deo Filikunjombe pale alipokawa anahitimisha kuwasilisha ripoti yake kuhusu yale majizi ya fedha za wizi za escrow ambapo ilitaja watu wengi wakiwemo na maaskofu wa kanisa katoliki na vijana wao kama Anna Tibaijuka katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Swali langu kwenu wazushi, kama kweli yanayozushwa kuwa Tanganyika inageuzwa koloni. kwanini wabara walioko huko kwenye hizo taasisi nzito wametulia ?

    Nimekutana na hizi stories zisizo na facts kwamba nchi itatekwa kiutawala na Zanzibar Yani Tanganyika yenye watu wengi mara 35 ya Zanzibar na ukubwa zaidi ya mara 300 ya Zanzibar itawaliwe na Zanzibar ? mnaota ndoto gani hizo ? Kuna kelele kwamba Wazanzibari wanajazwa JWTZ. Kwa ajili ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya AFRICA50 pamoja na wanahisa wengine

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya miundombinu barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)...
  13. Bijang

    JamiiForums Tanzania Kero: Messages za mikopo kutoka taasisi za mikopo

    Habari wakuu, Kumekuwa na kero kubwa ya SMS (ujumbe mfupi WA maneno) kutoka kwa hizi taasisi za mikopo, kama Bayport, Fanikiwa, Platinum n.k Yaani kila siku iendayo Kwa Mungu iikifika saa nne asubuhi lazima nipokee sms, yaan nishaweka akilini ikifika hiyo muda lazima nipokee sms, tena number...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania 'Uchamishaji' wa taasisi za umma, tishio kwa utawala bora

    UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama cha siasa ni taasisi inayoundwa na watu wenye mtazamo na itikadi fulani za kisiasa. Vyama kama vile...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, Agosti 5-6, 2026

    Kwa Mara ya Kwanza Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika. Mkutano huu unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 5 – 6 Agosti 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere. Mkutano...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI yajibu hoja kuhusu utendaji wa uongozi wa taasisi hiyo, yasema Sheria, Kanuni na Taratibu vinazingatiwa

    Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya Radiolojia katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Wakuu, naomba mlifuatilie suala hili, mimi ni mgonjwa ninayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa-MOI. Kuna changamoto kubwa katika idara ya Radiolojia, hasa kuhusu kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya MRI na CT Scan. Wagonjwa hufanya vipimo lakini majibu huchukua muda mrefu kutoka, wakati...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Malami aisifu Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa mageuzi ya huduma za Saratani

    16/7/2026 Mtaalamu wa masuala ya usajili wa visa vya saratani na kanzi data kutoka African Cancer Registry Network (AFCRN) Prof. Sani Malami amesema maboresho makubwa yaliyofanywa na Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) katika huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani yameongeza uwezo wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani Ocean Road: Tumehudumia aidi ya Watu 4,000 SABASABA, 670 wamebainika na Viashiria vya Saratani

    Julai 14, 2026 zaidi ya watu 4,000 wamepata huduma za uchunguzi wa awali wa magonjwa ya saratani wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yanayomalizika katika viwanja vya Julius Nyerere vilivyopo jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
Back
Top Bottom