kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Uwelewa wa Wayahudu na wakristo kuhusu mtume Muhammad na kitabu Cha Quran

    A) Wayahudu Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende Kwa wayahudu kupata ushauri kuwa wafanye nini Ili kujua kuwa Muhammad ni mtume kweli au ni muongo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu alipoteza kitabu chake cha kiongozi cha mwalimu, tuliwekwa juani na kuchapwa kumbe kakisahau kwa mtoto wake

    kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano. Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

    Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu "Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemwisilisha Shetani akawa Muislamu..."
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nimeokoa mamilioni ya pesa kwa kusoma Kitabu hiki cha ajabu!

    Kitabu hiki kina hazina zilizofichika kwa wengi. Waswahili wanasema kizuri, kula na mwenzio. Leo napenda kukushirikisha baadhi ya faida nilizozipata baada ya kuanza kusoma Kitabu hiki na ku-apply yaliyoandikwa katika Kitabu hiki cha ajabu. Kitabu hiki ni Biblia. Kwanza kabisa, nimeokoa...
  5. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo binafsi naona ni kitabu ambacho kina stori tu na hamna kitu cha maana ukiangazia Dunia tuliyonayo Leo...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo: Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Neno la bwana kutoka kitabu cha Isaya sura ya 45 mstari wa 7

    Isaya 45:7 "Mimi hufanya mwanga na kuumba giza; huleta fanaka na kusababisha balaa/uovu/majanga. Mimi Mwenyezi-Mungu hutenda vitu hivi vyote."
  8. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Unataka kuandika kitabu na hujui wapi utaanzia? Karibu tukusaidie

    ✍️ OMEGA BOOK WRITING SERVICES Una idea ya kitabu, notes, au teaching materials lakini hujui namna ya kuibadilisha kuwa kitabu kilichoandaliwa kitaalamu? Tunatoa huduma zifuatazo: ✅ Book writing & editing ✅ Educational books & study guides ✅ Physics, Chemistry, Biology & Mathematics books ✅...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umesoma kitabu

    Mwaka 2026 unaelekea robo ya nne ya oktoba hadi Desemba, tukiwa tumemaliza wiki 37 kati ya wiki 52 za Mwaka. Umefanikiwa kusoma kitabu gani? Biblia ina vitabu 66 kati ya hivyo vitabu kuna kotabu unaweza kusoma dk 2 na ukamaliza Mara nyingi tumekuwa ni watu wa visingizio mara hohoho muda sina...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asaini Kitabu cha Maombolezo Malkia Elizabeth II

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 9 Septemba 2022 — Kusaini Kitabu cha Maombolezo cha Malkia Elizabeth II Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, katika Makazi ya Balozi wa Uingereza, Oysterbay, Dar es Salaam. Malkia Elizabeth II...
  11. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF

    Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF..na vitabu vifwatavyo WhatsApp: 0756704145
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu 7 makini za kulea mtoto mazingira ya mjini

    MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya hovyo ya namba 666 kwenye kitabu cha Ufunuo

    Wakristo tuache ujinga. https://youtu.be/MLxIyMnviyI?si=wDL9LaVjN_QjTG04
  14. G

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
  15. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu. Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

    Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Maisha ya John Lyimo Mwanasoka Nguli wa Tanganyika Enzi za Gossage Cup

    Kulingana na chanzo kipya kuhusu magwiji wa soka walioachwa, simulizi ya Mohamed Said inamwangazia John Robert Limo (John Limo), mchezaji hodari wa miaka ya 1960 aliyekuwa akicheza timu ya TPC mjini Moshi na baadae kuandika kitabu cha maisha yake ya soka. Hizi hapa ni nukuu muhimu kumhusu yeye...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kitabu cha The 48 Laws of Power The 48 Laws of Power

    The 48 Laws of Power, kilichoandikwa na Robert Greene na kuchapishwa mwaka 1998, ni kitabu kinachochambua dhana ya madaraka, ushawishi, mikakati na tabia za binadamu. Kwa kutumia mifano kutoka katika historia, siasa, vita, biashara na siasa za ndani za tawala, Greene anaainisha kanuni 48...
  19. 2

    JamiiForums Tanzania Nchimbi angesoma na kuzielewa sheria zifuatazo kwenye kitabu cha 48 laws of power kingemsaidia sana

    Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46 Never Outshine the Master Pose as a Friend, Work as a Spy Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous Master the Art of Timing Think as You Like, But Behave Like Others Never Appear Too Perfect
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamua nikomae na kitabu cha MMEA MWANZO MWISHO “HEMP”

    Tusiogope kupata kitu Kuna watoto First born yeye ilikuwa sigara na safari larger Second born horizontal engineering Third born ilikuwa Kilimanjaro larger Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni Sixth , K vant mwanzo Mwisho...
Back
Top Bottom