Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba
sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe.
Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
Je,
alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia?
Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
bila
chochote
darasa
hii
kesi
kisheria
kisiasa
kufanikiwa
kuomba
kusaidiwa
lisu
mawakili
mtuhumiwa
muhimu
nchi
sana
tanzania
tundu
uhaini
wanasheria
wote
Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki unaotambulika kisheria.
Elimu hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa Ardhi (Utawala wa Ardhi), Bi...
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ,
tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
Tanzania tuna taasisi ya kiserikali ya RITA ambayo moja ya majukumu yake ni kutambua na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na vifo.
Kwa Tanzania na dunia ya leo, cheti cha kuzaliwa ni muhimu maana ndiyo msingi wa kwanza wa utambulisho wako kabla haujafika huko kwenye NIDA, leseni za udereva...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti wa Halmashauri na Mameya nchini kuhakikisha maeneo ya Serikali na taasisi zake, ikiwemo maeneo ya wazi, yanapimwa na kumilikishwa kwa hati ili kulinda ardhi hiyo dhidi ya...
By Advocate Paul Boniventure;
Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza...
Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
Serikali haina nia ya kuendelea na kesi. Sasa dhamana inatoka wapi tena? Unampa mtu dhamana mtu aliye na kesi inayoendelea as far as I know.
Masharti yanatoka wapi ya kuripoti kila friday ya mwisho wa mwezi for a year wakati kufutiwa kesi siyo kifungo cha nje. Kuna vitu haviko sawa. peter...
By Advocate Paulo Boniventure;
Shahidi wa 5 wa upande wa Defence (DW5) Mh John Wegesa Heche wa kesi ya tuhuma za uhaini wa maneno ya Mh Tundu Lissu - Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA alianza kutoa ushahidi wake kumtetea Mwenyekiti wake jana 9/9/2026...
Ufuatao ni muhitastari (Situation Overview) ya...
Tukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa...
Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.
Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Ndugu Patrobasi Katambi ametoa amri kwa baadhi ya watu (wanaodhaniwa kuwa wametenda makosa ya jinai) kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili.
Baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Patrobas Katambi...
Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi
Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper, limeibua mjadala mzito na hisia kali nchini Tanzania. Ingawa Wizara ya Ardhi ilifanya jitihada za haraka...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026.
https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748
👆🏾👆🏾👆🏾
Tazama Video yote hapo juu.
Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video
Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
Miaka yote tangu uhuru, tumeona Bunge likipokea jina la mteule wa nafasi ya Makamu wa Rais na kulipigia kura ya kumuunga mkono au kumkataa.
Kumbukeni kwa uteuzi unaoenda Bungeni siyo wa Mgombea Mwenza, bali Makamu wa Rais kuziba nafasi ya aliyeondoka.
KItendo cha Ndejembi kutangazwa kuwa...
Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefungua shauri katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma wakilalamikia kitendo cha kuvuliwa nafasi zao za uongozi kiholela na bila kupewa fursa ya kusikilizwa, kinyume na katiba ya chama hicho.
Akiashiria msingi wa shauri hilo mbele ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.