zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Mahakama Ya Jiji Posta Ya Zamani , Dsm Ni Chaka La Rushwa

    Tangu kuanzishwa operesheni za usafi ambazo zimegeuzwa kuwa za kukimbizana na Machinga hiyo mahakama ndio imegeuzwa machinjioni. Watu wanakamatwa na kupelekwa hapo mara utasikia wanataka laki 5, mara laki 4 yaani haijulikani faini halali ni ipi! Ni ujanja ujanja wa kitapeli tu ndio unaoendelea...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kweli muziki wa zamani haukuwafaidisha wasanii na chochote bali stress tuu. Ukiwaona katika kundi moja wakipiga story utafikiri kikundi cha masela

    Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man City mtarudi kwenye Klabu zenu za zamani?

  5. M

    JamiiForums Tanzania MDORORO WA KIBIASHARA POSTA: Kwanini Kata za Kivukoni na Kisutu zimekuwa "kimya" kibiashara tofauti na zamani? Wafanyabiashara wameihama?

    Wana-JamiiForums, Leo nimeona niguse mabadiliko makubwa yanayoendelea katikati ya jiji la Dar es Salaam (CBD), hususan katika eneo maarufu la Posta linalojumuisha Kata za Kivukoni (Posta ya Zamani) na Kisutu (Posta Mpya). Hili ni jambo linaloonekana wazi kwa mtu yeyote anayepita au kufanya kazi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Zamani watoto waliosoma primary english medium walikuwa wanaishia la sita wanarushwa form one. Leo hii la 7 wanalazimishwa kusoma pre form one. Why?

    Habari wadau. Binafsi najiuliza sana. Why now days shule binafsi nyingi zinaweka masharti ya mtoto kusoma pre form one kwao. Kabla hata hajaanza form one. Na hapo unakuta hao watoto wametoka kusoma english medium primary schools. Kweli mtoto aliesoma mtaala wa kiingereza kwa miaka saba...
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania 90s Rap: Ubunifu Dhidi ya Muziki wa Sasa

    Japo mimi na rap songs hazijaiva sana, Ila napenda sana kusikiliza 90s raps pamoja na wasanii wachache kama 1:Kanye west 2: Dax 3:xxx tentacion 4:j cole Ila muziki wa zamani hasa rap ilikuwa enzi hizo, watu walikuwa na akili hawakuwa mazombie wa siku hizi wanaimba vitu vya kijinga Kipindi...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Zamani MWANAMKE akiwa hajitambui nilikuwa namuacha, siku hizi akiwa ajitambui na kuweka kwenye kundi la sex tu.

    Akiwa hana akili simuachi Ila natumia nyeti zake mpaka zitepete Mana mtu unamuelekeza haelekezeki sasa naelekeza nyeti zake. *****
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

    Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu... Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua Lakini FAM anaishi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania "Mshindi ni Nani" Kipindi cha zamani Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

    Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani. Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbona Paul Makonda hayuko frontline kwenye camera kama zamani

    Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media. Je kaamua kuwa low key au...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Chaguzi zetu zote zimekuwa za kibaguzi kwenye siasa toka zamani

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, amesema kuwa ubaguzi katika ulingo wa siasa na michakato ya uchaguzi umekuwa tatizo sugu ambalo limeendelea kuota mizizi kwa muda mrefu nchini Tanzania. Akizungumza leo Septema 7, 2026, katika mkutano uliotayarishwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) la...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

    Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli? Shithole Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi mfano namba moja ni NIDA mkurugenzi yupo na analipwa mshahara kila mwezi? mbona ofisi za private na taasisi za private namba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati Usioyumba: Maria Sarungi na Kivuli cha Tundu Lissu wa Zamani. Nini Hatma ya Mapambano Haya?

    Leo naomba tujikite kumwangalia kwa kina mwanaharakati nguli wa haki za binadamu na demokrasia nchini, Maria Sarungi Tsehai. Katika mazingira yetu ya sasa ya kisiasa, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu uimara wa sauti huru. Hivyo, nawakaribisha wanajamvi wote kutoa maoni, kufanya uchambuzi, na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa watu zamani kwa mwanaume na mwanamke hata kiroho

    Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo. Watu wa zamani pamoja na mambo yote walielewa uwepo wa nguvu za aina mbili katika uwepo, yaani uwepo wa nguvu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #16 & #17

    Vitabu vya dini ni mkusanyiko wa maandiko ya kale kuhusiana na eneo hilo maalumu na maisha ya viumbe wa awali halali wa eneo hilo. Maandiko hayo ya kale yalieleza wazi na hatua za moja kwa moja ili jambo flani kuwa bayana. Vitabu vya dini sasa vimeandika kwa usahihi mkubwa sana maadili ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani #1-#15

    Vitabu vya dini ni maandiko yanayo fundisha elimu au maarifa ya kiroho, maandiko haya siyo ya kuzuka au kutungwa bali yana chanzo chake. Zamani za kale watu pamoja na mambo yote walifanikiwa kutunza mafundisho na maadili ya kiroho kwa namna nyingi kama vile simulizi na hata maandiko. Watu wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wokovu wa zamani vs wasasa

    Kwanini Wokovu wa zamani ulikuwa wa Moto Wakati nikiwa kwenye kongamano la maombi la kitaifa la 18 linaloongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege. Wakati ibada zikiwa ziliendelea na wakati tukiwa safarini kutoka kwenye hosteli kwenda ukumbini, kuna kitu nilijifunza Nikamuuliza mama mmoja mtu...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa maisha ya zamani sasa hivi tungemsoma kama Nabii mkubwa

    Hamjambo! Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu. Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii. Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo. Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...
  20. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
Back
Top Bottom