bima

 1. J

  Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

  Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD. Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la...
 2. Chiwaso

  Barua ya kutoa taarifa ya ajali kwa kampuni za Bima

  Kama inavyoelezea hapo juu, Uwe na ama Comprehensive au Third part Insuarance, ama umegonga au umegongwa, kutoa taarifa kwa haraka Kwa Kampuni ya Bima ni jambo la msingi sana. Mfano wa Barua hiyo, ni kama hii niliyokuambatanishia. Unaweza kufuatilia jambo lako wewe mwenyewe, au ukatumia...
 3. Ngwanakilala

  Hivi kwanini hakuna bima (Insurance) za kijamii kama Vikoba au Benki?

  Habari za mchana waungwana, Nimekua najiuliza hili swali labda kuna wataalamu watusaidie. Ni kwanini hakuna vijiji au marafiki au vikundi au taasisi zinazo anzisha bima ya kuwakinga wanachama wake na majanga - community based? zikasajiliwa na kufuata taratibu zote za TIRA Tumeona kuna taasisi...
 4. technically

  Sera za Bima zina tija Tanzania?

  Watu walikuwa wamekopa bank halafu biashara zao zimeanguka je wanaweza kulipiwa mikopo yao na bima? Watu walikuwa na ajira na wakapoteza ajira kisa corona je kuna makampuni ya bima yana bima ya ajira Tanzania? Je, bima zetu zinaendana na uhalisia tunaopitia kwenye nchi zinazoendelea au ni...
 5. B

  Ukipata ajali na basi la abiria lazima ulipwe na Bima kama ni majeruhi

  Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo 1.TIKETI YA SAFARI. 2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI. 3. FOMU YA POLISI (PF 3). 4. MCHANGANUO WA GARAMA ALIZOINGIA. 5. PF 90. 6. PF115 7. TIKETI YAKE kama bado anayo...
 6. S

  Kutokana na gharama kubwa ya huduma za kisheria, haiwezekani kukawa na Bima ya Huduma za Kisheria kusaidia wananchi kumudu gharama hizo?

  Wakati mwingine uhitaji wa huduma za kisheria huja bila mtu kutarajia kama ilivyo kwa magonjwa au kifo vitu ambavyo huwekewa bima(bima ya afya na bima kwa ajili ya kifo) ukiacha mbali bima ya vyombo vya moto pale vinapopata ajali na bima nyinginezo. Moja ya sababu ya kuwa na bima ni gharama ya...
 7. Titicomb

  Nadandia kwa mbele hoja ya Rais kuhusu bima ya afya kuwekeza kwenye viwanda vya madawa

  Mh. Raisi J.P. Magufuli nakusalimu na kukupongeza kwa wazo au ushauri wako kwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) wa kuwekeza makusanyo yao ya michango ya wateja kwenye sekta ya afya hasa kwenye viwanda vya madawa n.k. Mimi nilikuwa na ombi moja ktk kuboresha wazo lako. Naomba NHIF itangaze...
 8. MZALENDO TZ

  Huduma za bima sasa kupatikana katika matawi yote ya Benki ya NMB

  Benki ya NMB imeanza kutoa huduma za bima katika matawi yake yote 224 nchini kote.Huduma hii imefuatia uzinduzi wa huduma ya bima kupitia benki (Bancassurance) uliofanyika jana jioni jiji Dar es Salaam. Huduma za bima zitakazopatikana katika matawi ya Benki ya NMB ni pamoja na zile za kampuni...
 9. J

  Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

  Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya. Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali. Serukamba amesema hayo wakati akifunga...
 10. D

  Bima ya afya ni nini?

  Watanzania wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu madhumuni ya mifuko ya Bima ya Afya na jinsi inavyotenda kazi. Kukosa elimu hii huongeza malalamiko kuhusu uchangiaji na kujiunga na mifuko husika. Mimi kama mtanzania niliyebahatika kupata elimu ndogo nimewiwa kutengeneza thread hii kwa nia ya...
 11. Erythrocyte

  Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

  Tulisema tangu awali kwamba huyu mama anatumwa na ngazi za juu kuna waliotubishia, sasa mambo ni hadharani. Amekusanya aliowaita wazee wanaoishi kwenye mazingira magumu kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe eti kwa lengo la kuwalipia bima ya afya! Alikuwa wapi miaka yote kufanya haya? Anagawa rushwa...
 12. S

  Bima ya Afya nchini Kenya kugharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja

  Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja. Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020. Bima ya afya humu nchini NHIF...
 13. BASIASI

  Najiuliza Yondan alijuaje kuwa Kagere ana bima ya afya uwanjani?

  Niko najipongeza na droo sio kwa bahati mbaya ni hela ya mhindi kalia. Kama mtu amekasirika ajitokeze ajifanye kama anajikuna Umejiuliza Yondan alijuaje jamaa Kagere kavaa bima ya afya uwanjani? Hivi unajua yule mshabiki wa Yanga alivyoingia uwanjani akadondoka Kilichoendelea upande wa Simba...
 14. S

  Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
 15. Makanyaga

  Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
 16. N'yadikwa

  Je, Bima ya afya inakubali kipimo cha CT Scan?

  Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je, kwa Dar es salaam ni hospitali gani?
 17. FORTALEZA

  Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

  Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
 18. elivina shambuni

  Wakulima wa Pamba Simiyu kupata huduma ya Bima ya Mazao msimu wa 2019/2020

  Shirika la Bima la Taifa (NIC)linatarajia kuanza kutoa huduma za bima ya mazao kwa wakulima wa pamba katika Wilaya ya Meatu na Maswa Mkoani Simiyu, ambapo wakulima watakuwa na uwezo wa kukata bima katika zao la pamba itakayomkinga dhidi ya majanga ukame,mvua zilizozidi kiasi , mafuriko, moto...
 19. D

  Tambua aina za bima na faida zake

  Bima ni mkataba wa kulipa fedha katika shirika la fedha ili kupata fidia wakati mlipaji anapofikwa na ajali au hasara fulani au kurejeshewa fedha zake pamoja na faida baada ya muda maalumu. Bima ya gari hutosheleza gharama ya gari lako kama likiharibika au likiibiwa. Bima ya nyumba (bima ya...
Top Bottom