sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
 1. S

  Loo! Picha hii inasikitisha sana. Nchi hii imepitia kipindi kigumu sana

  Mtu huyu kafanya hivi siyo kwa kupenda kwake. Lkn ni kwasabb kuna mtu ametwikwa mamlaka makubwa sana kiasi cha kufanana na Mungu. Hii haikubaliki, haivumiliki na isijirudie tena. Tunahitaji katiba mpya itakayoondoa "umungu mtu".
 2. X wangu

  Wasiokujua kwa utamu wako ni wachache sana

  Hii ni mboga flani tamu sana hasa ikikutana na mpishi anaejua kuipika kwa kuchanganya viungo flan.. JE KWA KABILA Lenu MNAIITAJE HII MBOGA? naanza: lisebho (wangoreme na wakurya)
 3. nduza

  Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

  Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
 4. KEROZENE

  Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

  Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
 5. nyboma

  Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

  Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua. Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ...
 6. S

  Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

  Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
 7. kyagata

  Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

  Wakuu Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja. Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich...
 8. Komeo Lachuma

  Serikali iingilie kati Wizi unaofanyika kwenye Kumbi za Sherehe. Ni Wizi Mkubwa sana.....

  Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao. Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi. Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana...
 9. Jackwillpower

  SALA HII INAFAA SANA LEO, Dominika ya kwanza ya majilio.....

  SALA HII INAFAA SANA LEO, Dominika ya kwanza ya majilio.....
 10. K

  OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

  Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
 11. N

  Hivi Rais Samia umekosa kabisa watu wapya wa kuleta mawazo mapya kwenye Taasisi/ Uteuzi wa Bodi una walakini sana

  Eti umemrudisha Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa PSSSF. Hivi kweli kabisa mmekosa watu wazuri wenye mawazo ya kuukwamua huo Mfuko. Huyu Iyombe ndiyo chanzo cha kuua huo Mfuko tangu akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF. Kuna wakati JPM alishaamua kumtoa lakini basi tu akaona bora amalizie muda...
 12. B

  Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

  Kauli hii ni rasmi ya serikali: Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali: 1. Mahakama si mama yako, 2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka," 3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama, 4...
 13. Nyankurungu2020

  Zitto: Uchumi wetu ni duni sana

  Watanzania Milioni 31 ndio wenye uwezo wa kufanya kazi (nguvu kazi), kati ya hao 61.5% wanajishughulisha na Kilimo (ikiwemo uvuvi, ufugaji na misitu), 14.5% wanajishughulisha na Biashara, 3.7% wameajiriwa kwenye Viwanda na 1.4% kwenye uchimbaji wa madini. Uchumi wetu ni Duni sana
 14. Swahili Muslims

  First borns (wazaliwa wa kwanza) wanapaswa kuonewa huruma

  Je umeshawahi kukutana na mtu akakueleza kwamba ''Huyu ni mdogo wangu'', lakini huyo mdogo mtu akaonekana ni mbavu nene na mkubwa kimaumbile kuliko mkubwa mtu? na wakati mwingine hata urefu mdogo mtu humzidi mkubwa mtu. Wazaliwa wa kwanza hufubaa sana kutokana na majukumu wanayo beba japo...
 15. Hakimu Mfawidhi

  Rick Ross yuko makini sana na afya yake

  Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake. Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga. Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
 16. N

  Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

  Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
 17. KEROZENE

  Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

  Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
 18. KEROZENE

  Acheni tu Shule za Kishua kama za FEZA na St. Mary zifaulishe sana na zetu zifelishe

  Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za...
 19. sky soldier

  Wanaume wa kizazi cha sasa wengi ni legevu, hali inatisha sana

  Nyakati ngumu hutengeneza wanaume imara, wanaume imara hutengeneza nyakati zenye wepesi, nyakati zenye wepesi hutengeneza wanaume legevu, wanaume legevu hutengeneza nyakati ngumu. Kukosa mazoezi - wengi wapo kwenye viti makazini au darasani muda mwingi, kutembea ni kidogo sana usafiri umekuwa...
 20. Fatma-Zehra

  Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

  Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri. Data zinaonyesha mambo yafuatayo: 1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana...
Top Bottom