kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kijana mdogo mtoto yule atanijibu nini?

    Àmekadharau kweli!
  2. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume unayetegemea kuingia ndoani.

    Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache. Kubali kwamba ndoa si raha kila siku. Kutakuwa na tofauti za mawazo, hasira, uchovu na vipindi vigumu. Usitarajie...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania FUNGUA AKILI YAKO KIJANA ACHA KUZUNGUSHA MIKONO NA CHADEMA!,JAMAA WAPO KAZINI KWAO!,WEWE UNAZUNGUSHA TU.

    #Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti! 1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu. 2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!). 3. TOUR OPERATOR WA...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Mwananyamala aliyepotea, akutwa ameuwawa

    Jina: Awezi Emedi Swalehe Umri: Miaka 23 Anaishi: Mwananyamala, Dar es Salaam Alichukuliwa: Sinza, Dar es Salaam Habari mbaya sana. Mama mdogo wa kijana aliyeripotiwa kupotea amenipigia simu akiwa analia baada ya kubaini kuwa kijana wake ameuwawa. Kwa mujibu wa taarifa alizonipa, mwili wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muda unakwenda sana, mwaka 2000 uncle alikuwa kijana mwenye 34 leo ni mzee mwenye 60

    Muda unakimbia, Fainali uzeeni
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kijana aliye Piga Base Guitar ya Wimbo wa Lango Nimemnyoshea Mikono

    Wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Nina amini wengi wenu mmeshakutana na ule wimbo mpya wa Lango (Liko Lango Moja Wazi) uliorudiwa upya kwa namna ya kipekee kabisa na kwaya maarufu ya Neema Gospel Choir. Wimbo wenyewe asili yake ni Tenzi za Rohoni, lakini hawa jamaa wameupa uhai mpya wa aina...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini kijana mwenyewe umri wa miaka 20-35

    Investing is very important
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ndoto ya kuendesha G-Wagon, aunda gari linalofanana muonekano ili kuishi ndoto zake

    kijana kutoka nchini Nigeria, Chukwudi Godday Eze, amekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufanikiwa kutengeneza gari lenye muonekano wa kipekee unaofanana na gari la kifahari aina ya Mercedes-Benz G-Wagon kwa kutumia vifaa vya ndani. Chukwudi alianza mradi huo wa ubunifu akiwa...
  9. Think2

    JamiiForums Tanzania Naomba msaidie huyu kijana

    Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena Hapo shida itakuwa wapi?
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kama kijana tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?

    Wakuu, tupige stori kidogo Hivi Kama kijana ni Tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu usikate tamaa maisha yanawezekana

    Kijana MWENZANGU acha kukata tamaa maisha yanawezekana ni kuamua na kusimamia ndoto zako. Nilimaliza form 4 mwaka 2017 ndoto zangu ni kuwa doctor lakini matokeo yalipotoka Aiseee sikuamini nilipiga 4 ya 28 ingawa masomo ya sayansi nimepiga D zote. Nikawacheki wazazi nikawaomba wanipeleke chuo...
  13. k-bee

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania (bara) usiende mjini; kijijini kunatosha

    Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..! Kijijini maisha si mazito kama mjini mana kijijini unapata mboga za majani bure kabisa kwa majirani shambani au unapanda mwenyewe...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna tumaini la kesho bora wewe kijana uliewekeza katika upole na unyenyekevu maana wanaokusubiri mchezoni hawakutazami kama mstaarabu bali mnyonge

    Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia. Ndoto za watu wengi zimepotea kwa kuingia katika huu mchezo wa maisha kwa style ya ustaarabu, kuna tofauti kati ya...
  15. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu kama una miaka 35 kwenda juu jitahidi umiliki chombo chochote cha usafiri.

    Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu. Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
  16. Gwele

    JamiiForums Tanzania Kijana mtaalamu wa kutumia AI

    Natafuta kijana mwenye uwezo wa kutumia AI vizuri haswa kwenye interior design za majengo. Kama upo na ujuzi huo nitafute tufanye kazi Kazi ipo Dar es salaam hivyo ni vizuri ukiwa Dar es salaam kama upo mkoani utanijulisha pia tuone tunafanyaje kazi. Kazi itakuwa na mshahara wa kila mwezi na...
  17. Heci

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana adaiwa kutekwa na wasiojulikana kwa kumkasirisha binti wa kigogo katika mapenzi!

    Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kutana na Kijana Anaishi Kwenye Maji Muda Wote Kama Mamba, Kisa Kizima Hichi Hapa

    Katika kijiji cha Beldanga, kilichopo Wilaya ya Murshidabad nchini India, kuna kisa cha kusikitisha na kinachovuta hisia cha kijana mwenye umri wa miaka 16, Iqbal Sheikh. Kwa miaka mitano sasa, Iqbal anajikuta katika hali isiyo ya kawaida inayomfanya atumie siku kadhaa akikaa ndani ya mabwawa...
Back
Top Bottom