ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka Kenya (FKF) yaahirisha tena kuanza kwa Ligi kuu

    Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limeahirisha tena kuanza kwa msimu wa 2026/27 wa FKF Premier League, ambao ulikuwa uanze leo Jumamosi, Septemba 19, 2026. FKF iliwasilisha taarifa kwa wenyeviti na maafisa wakuu wa vilabu Ijumaa usiku, ikisema ligi imesitishwa hadi taarifa zaidi itakapotolewa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wanaofanya makusudi kufanya makosa na VFS ipo, wafukuzwe kabisa kuchezesha ligi

    Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs. TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi. Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  4. C

    JamiiForums Tanzania Ligi namba 5 Afrika haifai kuwa na waamuzi kama wa jana aliyewanyonga Geita ili kuwapa faida Yanga

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini. Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu. Hata hivyo bado...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Fabrizio Romano Atambulisha Jezi za Ligi ya Mabingwa za Yanga

    Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya tukio kubwa la kimasoko baada ya kumtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zao mpya zitakazotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2026/2027.
  6. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania MADOGO MLIOPANDA DARAJA, HUKU LIGI KUU HAKUNA UTANI HUKU UMEME UPO NA UKISHANGAA UNAPIGWA SHOTI.

    Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa. Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up. Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo; 1.UTI...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

    Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Misimamo na yahusuyo Jamiiforums fantasy premier league kwa msimu mpya wa ligi kuu Uingereza (EPL) 2026/27 .

    Habari JF ,Ligi kuu Uingereza na JamiiForums fantasy premier league zimerudi , jiunge sasa kupitia Code wemf7z au autojoin kupitia https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/wemf7z Ligi hii ni just for fun lakini pia itakujengea ushindani mkubwa kuweza kushindana hata katika ligi...
  9. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Leo ligi kuu inaanza, fungua link hii iliyomo JF maalum kwa ajili ya msimu huu wa EPL

    Arsenal kila la kheri https://www.jamiiforums.com/threads/english-premier-league-uzi-maalum-wa-msimu-2026-2027.2455265/
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini ligi ya Nigeria siyo bora?

    Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Fifa waandikiwe barua nyingine ili Tff wapewe adhabu. Huwezi kupeleka mechi ya ngao ya hisani Zanzibar wakati Zanzibar wana ZFf na ligi yao.

    Kwa ujumla huku ni kuleta siasa kwenye mpira. Na ni kinyume na misingi ya Fifa inayozuia kuingiza siasa kwenye soccer👇
  12. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania UTABIRI WANGU LIGI KUU 2026/2027.

    Bingwa - YANGA / SIMBA SC. Timu zitakazo shuka Daraja 1. MBEYA CITY FC 2. FOUNTAIN GATE FC MSIMAMO KAMILI 1. Simba sc point 80 2. Yanga sc point 80 3. Azam FC point 68 4. Singida black stars point 63 5. TRA united point 48 6. JKT Tanzania point 47 7. coastal union point 43 8. Mashujaa point...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TFF kwa Video Support kwenye ligi, So far so good

    Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani. Football Video Support (FVS) kwenye ligi ya NBC mpaka sasa imeleta utulivu wa hali ya juu. Kelele juu ya waamuzi mpaka sasa hazijasikika au ziko kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa TFF: Je, si wakati sasa wa kuleta mfumo wa "Financial Fair Play" (FFP) kwenye Ligi Kuu ya Tanzania?

    Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu imeanza leo 14 Agosti 2026, timu yako inahitaji nini ili ibebe kombe la NBC?

    Wada wa michezo na wapenzi wa mpira wa miguu kwa nchi yetu leo ndio tunaanza kuhesabu magoli na ponti kwenye timu zetu. Leo dimba la Ligi kuu limeshafunguliwa kwa Pamba Jiji na Dodoma, Vipi timu yako unaona inahitaji nini ili muweze kubeba kombe la ligi kuu?
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  17. E

    JamiiForums Tanzania EPL isharudi Msimu 202627, JamiiForums Fantasy League imerejea. Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali

    Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini . JamiiForums Fantasy League bado ni just for fun na kukujengea uwezo wa kushinda kwenye ligi mbalimbali na...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Funzo: Ukizidiwa kubali yaishe, sio kuanzisha ligi

    Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia kamaliza, wachambuzi wa mpira wanabwabwaja kwenye mike badala ya kuchambua mpira. Ligi ikianza wajirekebishe.

    Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
  20. Labani og

    JamiiForums Tanzania CAF yakataa pendekezo la Misri kuongeza Klabu za Ligi ya Mabingwa Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27. Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
Back
Top Bottom