kubadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  2. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin Nalimi Kisandu(CIVILIAN-COIN) kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo na hawaitambui Mahakama.

    Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo. Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho kinachotakiwa kuhaririwa jina Moja, kutoka jina la ubatizo la kwanza "Deogratius" na kuweka jina jipya maarufu...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kubadili combination form five.

    Natafuta musaada kubadili combination kwa kijana wangu. Ndoto yake ni kusoma HGE ama EGM. Kwa sasa amechaguliwa HGL lakini shule hakuna combination za HGE na EGM. Natanguliza shukrani.
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia Kubadili Dar & Dodoma: Miundombinu Mipya

    Dkt. Samia Suluhu Hassan kubadili majiji, Dar es Salaam na Dodoma. 📌Atatandaza Flyover Tabata, Morocco, Mwenge hadi Kongowe 📌Zitafuata pia za makutano ya Fire, Magomeni na eneo Kamata 📌Dar, Mkoa Pwani kushuhudia barabara njia 8, Dodoma njia 6
  5. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kubadili Bajaji ya Mafuta iwe ya umeme?

  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kubadili TAHASUSI na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne lafunguliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025 limeanza rasmi Aprili 11, 2026 na litahitimishwa Mei 10, 2026. Prof. Shemdoe amesema hayo leo Aprili 11...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msikimbilie gari za umeme.. Je mnajua gharama za kubadili battery?

    Bei ya betri za magari yanayotumia umeme (EV) kwa mwaka 2026 inakadiriwa kuwa kati ya TSh milioni 14 na TSh milioni 56 ($5,000 – $20,000), ikitegemea ukubwa wa gari na uwezo wa betri. Ingawa gharama ya teknolojia ya betri imeshuka hadi kufikia takriban $80–$105 kwa kila kWh, bei ya kubadilisha...
  9. LOOOK

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wataalam wa EV conversion kuchangamkia fursa kwa sasa ili kubadili mfumo wa uendeshaji gari kutoka petrol kwenda umeme

    Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mtambo Huu Unauwezo wa Kubadili Hewa ya Kabon Dayoksaidi (CO2) kuwa Mafuta ya Petroli

    Habari za leo wakuu, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri. Gesi ya kaboni dayoksaidi (CO₂) imekuwa ikitolewa kwa wingi sana kutoka kwenye injini za magari pamoja na mitambo ya viwandani. Mara tu mafuta yanapochomwa ndani ya injini au mitambo hiyo, huzalisha gesi mbalimbali, ambapo moja kuu...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

    Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa. Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa. Ni hivi, nimesoma...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kubadili Tin binafsi kuwa Business TIN

    Habari mjasiriamali, Last week nimepata watu watatu walioniuliza swali Moja, "nawezaje kubadili TIN yangu iwe TIN ya biashara?" For collective good nimeona nikuandikie hapa na wewe. Kuna hatua kadhaa za kufuata wakati wa kubadili non business TIN kuwa Business TIN. Hatua hizo ni hizi; 1/10...
  14. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena. Tuache unafiki hakuna...
  16. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa App zangu huzi

    Habari jf Nisiwachoshe sana Mimi ni non-code Developer na hizi hapa ni App zangu zilizokamilika Chini ya 50%. Nilizotengeneza kutoka Loveble Fanya kupitia Apps hizi na toa ushauri wako https://linkdash.lovable.app https://linkinn.lovable.app https://golink1.lovable.app...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa China wachochea maingiliano ya kilimo na kubadili maisha ya vijijini nchini Ethiopia

    China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani kuzuia makampuni kubadili majina. Kama Tigo ilivyoenda kuwa Yas?

    Mambo mengine ni usumbufu mkubwa kwa walaji. Haiwezekani kuzuia makampuni yenye walaji wengi kubadili-badili majina?
  19. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kubadili kadi ya umiliki wa bajaj na gharama za bima pamoja na LATRA

    Hqbari wakuu. Nimenunua bajaj kutoka kwa mtu, sasa nataka kubadili jina la umiliki, kwa maana kadi isome jina langu. Mwenye anafahamu taratibu na gharama za kubadili kadi anijuze. Pia hii bajaj haina bima nataka niikqtie bima, hivyo anaejua gharama za bima kubwa kwa upande wa bajaj anijuze pia...
  20. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunauza na kubadili vioo na housing za laptop

    Leta Laptop yako tubadili muonekano kama... -Housing imevunjika au ina scratches -Kioo cha Laptop kimevunjika/kina madoa/kina mistari Tupo ilala - Dsm 0767953873
Back
Top Bottom