usafiri

 1. DOCTOR UZI

  Nitumie usafiri gani kusafirisha mizigo yangu kutoka Dar - Dodoma?

  Wakuu za muda huu, Moja kwa moja kwenye mada au swali , mm ni mwanachuo nasoma Dom ila naishi dar kuna baadhi ya vitu nataka nivipeleke kwenye geto langu la dom (kitanda 5*6,tv ,fridge) Sasa wakuu nilikuwa nataka kujua kama kuna usafirishaji mwengine ukitoa wa bus maana hawataki kusafirisha...
 2. mkiluvya

  Tamisemi yaitaka Udart kurejesha huduma ya usafiri kabla ya Juni 01

  Waziri wa Nchi , ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi yaendayo haraka UDART kuhakikisha usafiri wa mabasi hayo unarejea kama kawaida kabla ya Juni Mosi, mwaka huu na kuondoa kero ya sasa inayowakumba abiria wanaotumia usafiri...
 3. JF Member

  Usafiri wa Mwanza to Dar Jioni hii

  Msaada Kama Kuna mtu yuko Mwanza anakuja Dar jioni hii kwa gari nijulishe . Kuna ndugu zangu wanatakiwa Dar kesho asubuhi.
 4. MAJIYAPWANI

  Msaada juu ya hiki chombo cha usafiri

  Habari Wana Jf Leo katika pitapita zangu nimekutana na chombo cha usafiri aina ya piki piki hii wauaji wanasema ni made in korea Nataka kujua upatikanaji wa Spare, ulaji mafuta ukoje na Je vinadumu? Havisumbui?
 5. P

  Usafiri wa mabasi yaendayo Uganda

  Tar 27 Apr tunarajia BAADHI ya boda zitakuwa HURU kwa matumizi Wale wanaojua USAFIRI mzuri WA mabasi na lodge/guest house za BEI rahisi msaada pls Tupeni majina ya mabasi na BEI za TKT pls to kampala #Usisahau kadi ya chanjo pls..
 6. J

  Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

  Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa. Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi...
 7. kavulata

  Usafiri wa level seat lazima uratibiwe

  Usafiri wa level siti ni mzuri sana katika kupambana na magonjwa Kama COVID-19, TB, surua, mafua, upele, fungus yanayoenea kwa njia ya hewa na kugusana, lakini yafuatayo lazima yafanyike kwenye Usafiri huu ili usilete usumbufu: 1. Nauli ya kituo hadi kituo iwe 1000. Sh. 400, 500 au 600...
 8. M

  SUMATRA kuweni wabunifu kwenye ishu ya usafiri mijini kipindi hiki

  Nyakati ngumu huhitajika kuumiza kichwa mara nyingi zaidi kuliko kipindi cha raha mustarehe. Sasa hivi SUMATRA inataka vyombo vya usafiri viwe level seats lakini haitoi majibu ya mipango ya aina gani wanaweza kutumia usafiri wa mabasi hayahaya ya daladala yaliyopo nchini kuweza kuhudumia watu...
 9. Bonde la Baraka

  Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

  Daladala hupandwa na watu wenye kipato cha chini, hupandwa na watu waliokosa ajira/ kazi nzuri. Daladala hupandwa na watu wenye background ya chini. Daladala imejaa watu ambao ustaarabu wameusahau nyumbani. Natamani August 2020 nikome kupanda daladala. Hayo niliyoyaandika sija generalize kuwa...
 10. simplemind

  Corona inazidi kutikisa -Marekani imezuia usafiri kutoka bara la ulaya.

  Coronavirus Live Updates: Trump’s Travel Restrictions, Italy in Lockdown and N.B.A. Suspension Italy biashara zote zimefungwa isipokua famasi na maduka ya vyakula. NBA imesitishwa.
 11. M

  SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

  Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
 12. simplemind

  Luxembourg: Nchi ya mwanzo kutoa usafiri wa bure wa umma

  Luxembourg on Saturday became the first country in the world to offer free public transport, as the small and wealthy EU country tries to help less-well-off workers and reduce road traffic. Some cities elsewhere have already taken similar, partial measures. But the transport ministry said it was...
 13. beth

  China yasitisha usafiri wa umma katika mkoa wa Wuhan kudhibiti Virusi Corona

  China imefanya maamuzi magumu ya kusitisha usafiri wa umma hasa katika mkoa wa Wuhan, unaokaliwa na watu karibu milioni tisa, wakati wa mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Corona. Watu wanaoishi katika jiji hilo wameambiwa wasiondoke nje ya mji huo, na uwanja wa ndege na vituo vya treni vitafungwa...
 14. Masinki

  Kitu gani kwenye usafiri huwa unafanya Kisha baadaye ukimbuka unacheka/una huzunika.

  Ni Jumamosi tulivu Sana ya mwaka 2020 wabongo wanaita Njaanuari hii,,imani yangu mpo in good spirits ingawa mifukoni kunaweza kusiwe POA. Wengi wetu hizi forum/mitandao ya kijamii ndio inatupa ahueni ya mawazo,yaaap acha nijielekeze kwenye mada yangu ya leo. Kuna Mambo mengi yanayofurahisha Sana...
 15. Offshore Seamen

  Inabidi taxi za majini zianzishwe Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri na kuwa sehemu ya utalii

  Sea taxi ni usafiri wa boti au meli ndogo zenye kubeba abiria kutoka eneo moja kwenda eneo lingine ndani ya bahari, na ndani ya boti abiria huweza kupata sehemu za burudani kama televisheni, eneo la wazi, mgahawa na sehemu ya mkutano. Hii imekuwa ikifanyika katika nchi mbalimbali mfano kwa...
 16. K

  Usafiri wa mwendokasi kituo cha Kimara kero kwa wananchi

  Kwa wahusika hasa halmashauri ya jiji na TAMISEMI, wasafiri tunaotumia usafiri huu tunakerwa na tabia ya wafanyakazi wenu kukatisha tiketi na kuchukua pesa hali wakijuwa hakuna either magari au magari yapo ila madereva hakuna. Hali imekuwa ikijitokeza mara kwa mara. Leo asubuhi na mapema watu...
 17. B

  Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

  Kurejea kwa usafiri wa treni ya abiria kati ya Dar es Salaam na Moshi baada ya kupita miaka 25, kumetingisha usafiri wa mabasi kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na idadi ya abiria kudaiwa kupungua. Kwa kawaida kila mwishoni mwa mwaka huwa kuna mahitaji makubwa ya usafiri wa abiria wa kuelekea...
 18. elivina shambuni

  Abiria wafurahia usafiri wa treni Moshi - Dar

  Ijumaa Desemba 6, 2019 treni ya abiria itakayokuwa ikitoa huduma ya usafiri kati ya Dar es Salaam na Moshi, mkoani Kilimanjaro ilirejea baada ya kupita miaka 25. Treni hiyo yenye mabehewa manane iliondoka Dar es Salaam Ijumaa saa 10 jioni ikiwa na abiria 263 na 24 walipandia njiani. Ilifika...
 19. Nyendo

  Mgomo mkubwa kuhusu pensheni waathiri usafiri Ufaransa

  Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
 20. J

  Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

  Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
Top Bottom