upoje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna anayejali

    Huu ushuru wa wajasiriamali upoje?

    Wanajukwaa salam. Wanaotakiwa kutowa ushuru kwenye maeneo wanayotafutia riziki ni wepi Kati ya hawa? Waliopo kwenye maeneo rasmi kama masoko,au waliyo kando ya njia(road reserves) au maliyipo kwenye maeneo ya watu binafsi?
  2. Mbu

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  3. R

    Ni sahihi kwa Mawaziri kuwajibika kwa karibu Mwenezi wa chama? Mfumo wa mawasiliano ndani ya chama cha Mapinduzi upoje?

    Waziri ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa, anateuliwa na Mhe. Rais na anawajibika kusimamia masuala ya kisera ya wizara. Leo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ...
  4. B

    Ushuru upoje kama ukiagiza mfano piece 50,000 za container za urine kutoka China

    Naombeni msaada hivi ukiagiza bidhaa online mfano pieces 50,000 za urine container kutoka Alibaba zenye thamani mfano sh. 2500000 ushuru wake hapa bongo unaweza fika shilingi ngapi
  5. Kikwava

    Huu mfumo wa ESS upoje? Tunaomba ufafanuzi kidogo kwa anayejua

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu chajieleza tunaomba ufafanuzi kwa anayejua juu ya matumizi na faida ya mfumo wa kiutumishi unaoitwa ESS. Asanteni
  6. Edsger wybe Dijkstra

    Utaratibu wa kuandaa mitihani ya taifa upoje?

    Wakuu habari zenu . Ivi utaratibu wa kuandaa mitihani ya necta upoje kuanzia utungaji wa maswali, uchapaji wa mitihani, kuhifadhi mitihani mpaka kufikia kuisambaza katika vituo vya mitihani.mchakato huwa unakuaje wadau, nna hamu sana ya kujua na inshaallah mungu akijalia nije nifanye kazi huko...
  7. profesawaaganojipya

    Msaada; Utaratibu wa matibabu ya bure kwa wazee upoje?

    Ndugu wakuu, nina bibi yangu anaishi Dar na maza, ana umri wa miaka kama 100 hivi, sasa anasumbuliwa sana na maradhi na upande wa uchumi uko vibaya, siwezi mkatia bima ya afya. Naomba kujua utaratibu wa kupata kitambulisho cha matibabu ya bure kwenye hospitali za Serikali, kwa anaejua...
  8. captain mtata

    Nataka Kusajili Jogging Club. Utaratibu Upoje?

    Nawasalimu wote Nipo Ndani ya Taasisi Binafsi Iliyopo katika moja ya Mikoa ya Kusini mwa Tanzania Tunataka kuanzisha Powerfull Jogging club katika eneo tulilopo na ilipo Taasisi yetu Nataka Kufahamu Utaratibu Upoje kuanzia Kuisajili na Process zote mpka tutakapo pewa Ruhusa ya Kuanza as...
  9. BARD AI

    Leo ni Siku ya Chakula Duniani, uhakika wa chakula bora upoje kwako? 'Leave NO ONE behind'

    October 16 ya kila mwaka ni Siku ya Chakula Duniani. Siku hii inaadhimishwa ikiwa ni kuikumbusha jamii ya kimataifa kuwa, baa la njaa linaathiri kila mmoja wetu, awe tajiri ama masikini, katika nchi kubwa kiuchumi au nchi iliyo nyuma kiuchumi. Siku hii ni ilianzishwa na Shirika la Chakula na...
  10. Next Elon Musk

    Upatikanaji wa ajira upoje ngazi ya diploma?

    Guys neona nilete hii topic mezani kwa ambae anajua au experience, ukiachana na degree na masters chini kuna diploma na certificate but lets highlight kwa diploma hasa hali ikoje let's say upande wa tech (IT).
  11. Nuraty J

    Msaada: Utaratibu kubadili noti chakavu upoje BOT?

    As/aleikum wapendwa, Jamani Kuna ndugu yangu mfanyabiashara,ana noti chakavu za Kama shilling laki sita, Utaratibu upoje akitaka kwenda kuzibadili pale bank kuu? Asante
  12. D

    Msaada: Usafiri wa treni ya abiria kwenda mikoa ya kaskazini 2022 ukoje?

    Wadau naomba kuuliza ratiba na nauli kwenda mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ikoje? Pia ushauri wa jumla kuhusu usafiri huu kwa Sasa. Thanks
Back
Top Bottom