adaiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

    Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16. Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa...
  2. Suley2019

    Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano. Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea mara kwa mara na...
  3. Suley2019

    Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Masaunga wilayani Bunda, Vicent Nkunguu (39) kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la sita shuleni hapo kisha kumnywesha sumu. Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Machi 13, 2024, Kamanda wa Polisi...
  4. M

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema. Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita. Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
  5. Jaji Mfawidhi

    Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  6. B

    Kamanda Jeshi la Wanahewa la Zambia adaiwa kupigwa risasi na mkewe

    Lusaka, Zambia Picha maktaba : Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha mstaafu na mkewe Jane Lusengo Shikapwasha . Bi. Jane Lusengo Shikapwasha umri miaka 73 (kulia ktk picha) ambaye ni mke wa Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha ni mshukiwa mkuu wa madai ya mauaji hayo. Kamanda huyo wa...
  7. M

    Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

    Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 📹 The Chanzo
  8. Roving Journalist

    Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

    Tumaini Luvanda (35) mkazi wa Dombwela wilaya ya Makete mkoani Njombe ameuawa kwa kukatwa na panga vipande kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na baadhi ya viungo kutupwa kwenye mto jirani na nyumbani katika eneo la Kabinda wilayani humo ambapo tayari Polisi inamshikilia Juma Kyando (36)...
  9. JanguKamaJangu

    Geita: Auawa kwa kupigwa risasi wakati akichanja kuni kwenye hifadhi

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia Askari wanne wa maliasili kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Semeni Hamisi (34), mkazi wa Kijiji cha Nyamigota, Kata ya Nyamigota, baada ya kukutwa ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Samina akiokota kuni za matumizi ya nyumbani. Mkuu wa Wilaya ya Geita...
  10. Suley2019

    Mhandisi wa Kiwanda cha Tesla avamiwa na Roboti na kuachiwa jeraha

    Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa. Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na mashine iliyoundwa kushika na kuhamisha vipande vipya vya gari vilivyotengenezwa kwa alumini. Roboti...
  11. O

    Adaiwa kumuua mkewe kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe

    Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe. Tovuti ya NTV ya nchini humo imesema mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 46 anadaiwa kutekeleza mauaji hayo kwa...
  12. BARD AI

    Mwamposa adaiwa kuwatumia Trafiki kufunga Barabara ili awahi safari zake, asababisha Foleni zaidi ya masaa 4

    Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
  13. Suley2019

    Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
  14. benzemah

    Manyara: Kijana akutwa amejinyonga

    Kijana wa Kimasai rika la Morani, aliyejulikana kwa jina Sabaya Isaskar (31) mkazi wa Njaniodo, wilayani Kiteto mkoani Manyara amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ya manila. Mwenyekiti wa Kijiji cha Partimbo, Kimirei Mesiaya amethibitisha kutokea kwa kifo hicho leo Jumatatu Oktoba...
  15. LIKUD

    Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
  16. BARD AI

    Mtwara: Mwalimu wa kujitolea mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mtu mmoja (23) mkazi wa kijiji cha Mkalapa kata ya Chikundi ambaye ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Mkalapa kwa tuhuma za kumbaka binti (14) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari...
  17. Roving Journalist

    Tabora: Mathias Maganga, adaiwa kufia mahabusu ya polisi

    Na Abdallah Amiri – Igunga Mathias Maganga (31) mkazi wa Kitongoji cha Kinambuga Kijiji cha Majengo, Kata ya Chabutwa, Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga mkoani Tabora anadaiwa kufia Kituo kidogo cha Polisi Simbo. Baba wa marehemu, Maganga Hanga (67) akizungumzia kifo cha mwanawe juzi, alisema...
  18. Chachu Ombara

    Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Rais Mnangagwa kumteua mwanaye na mpwawe Baraza la Mawaziri

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
  19. M

    Tetesi: Mkandarasi barabara ya Itoni- Lusitu (Njombe) adaiwa kuwa na mpango kutahatarisha mito na maisha ya wananchi

    Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za...
  20. BARD AI

    Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Lebahati (35-37) anatuhumiwa kumtorosha mtoto wa kiume wa bosi wake na kwenda kuishi naye kinyumba kwa miezi mitano mfululizo huku akimlawiti. Kijana huyo aliyekuwa anafanya kazi ya kuchunga mifugo kwa bosi wake Simioni Abel huko wilayani Moshi mkoani...
Back
Top Bottom