Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,897
4,817
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

majeruhi.jpg

====

Pia soma: DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
 
Huyu mama alikuwa anataka kuwarubuni chadema waache kuongea ukweli na maovu yake kwa kisingizio Cha maridhiano, ila kwenye dp world chadema wameweka uzalendo mbele

Baada ya kuona chadema hawanunuliki kindezi Kama act , ccm wamerudi kwenye factory settings yao, ya siasa za kimagufuri ,,ndio maana MAKONDA kurudishwa

Tutegemee mengi ,alianza kumnyima kibali Cha kupaa mboye ,leo mlinzi wa lissu, kesho hatujui nini kitafuata?

Ccm imechokwa na wananchi ,wao wenyewe wanajua hilo, chadema wakipiga filimbi tu watu wanajaa, ccm mkutano mmoja lazima uandaliwe mwezi mmoja nyuma ndio wajaze

Kwa hiyo chaguo la mwisho kwa ccm Ni siasa za KIBABE
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Naona Makonda amerudishwa kwenye uongozi ili ayasimamie mambo haya ambayo amekuwa na uzoefu nayo.
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Du magufuli mshenzi sana anataka kumuua lissu japo yupo kaburini ....lissu akiuliwa mtuhumiwa no 1 ni JPM
 
Chadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..

Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..

Hawampati ng'oooooo
 
Back
Top Bottom