upinzani

 1. K

  Upinzani nchini

  Upinzani pamoja na figisu zote wanazofanyiwa unatakiwa kubadilika na kubadili mitazamo na aina ya siasa wanazozifanya kutoka kwenye siasa za kiharakati kua siasa za ukombozi zenye hoja mubadala kwa mustakabali wa nchi na zifike kwa wananchi. Kuendelea kung'ang'ania kudai vitu ambavyo pengine...
 2. THE BREED

  Dhamira ya kuua upinzani ni kwa faida ya Chama Tawala au Ubinafsi wa mtu mmoja?

  Wanabodi za asubuhi!naenda moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale makomredi wa chama tawala naombeni ufafanuzi wenu kuhusu lengo la kuua upinzani nchini linaisaidiaje CCM kama chama tawala? Upinzani si ndio kioo? kama kwa miaka mingi upinzani umekuja na ajenda nyingi za wananchi ambazo serekali...
 3. Titicomb

  Wapanga mipango ya ushindi, fitina, na propaganda wa CCM na upinzani ni wafanyakazi hewa

  Salam wakuu, Naomba niseme CCM, CHADEMA, na ACT mnalipa wafanyakazi hewa kwenye vitengo vyenu vya ubunifu wa mikakati ya ushindi, propaganda, fitina, figisu figisu na uenezi. Mnatabirika mno, yaani kama kuna madudu au propaganda au bao la mkono linajulikana hata na mtoto mdogo. KUNDI LA...
 4. J

  Uchaguzi 2019 Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

  Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu. Karibu!
 5. Ulimbo

  Uchaguzi 2019 Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

  Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
 6. C

  Uchaguzi 2019 :Watendaji Wa Kata Wapokea Maagizo Toka Juu, Hakuna kupokea Barua Za Kujitoa Za Wagombea Wa Upinzani.

  Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata...
 7. elivina shambuni

  Kiongozi Mkuu wa Upinzani Mbowe, ni mtoro

  Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa swali la Kambi ya Upinzani leo halijaulizwa kwa Waziri Mkuu kwasababu kiongozi wa kambi hiyo ni mtoro. Spika ametoa kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu maarufu kama maswali ya 'PAPO KWA PAPO' "Kabla...
 8. miss zomboko

  Kambi ya Upinzani Bungeni inakosa nafasi ya kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu kutokana na kiongozi wa kambi hiyo, Freeman Mbowe kuwa mtoro

  Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa mara kwa mara nafasi ya upinzani kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu inapotea kutokana na kiongozi wa kambi hiyo kuwa mtoro. Spika ametoa kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu maarufu kama maswali...
 9. Return Of Undertaker

  Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

  Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar. Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu. Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe...
 10. miss zomboko

  Seneta mmoja wa upinzani amejitangaza kuwa Kaimu Rais wa Bolivia

  Siku chache baada ya Rais wa Bolivia, Evo Morales kujiuzulu naibu Spika wa Bunge la Seneti la nchi hiyo, Jeanine Anez amejitangaza kuwa kaimu Rais katika kikao cha Bunge ambacho kilikuwa na idadi ndogo ya wabunge. Wabunge wa Bolivia walikuwa wameitwa kupitisha uamuzi wa Morales kujiuzulu na...
 11. F

  Election 2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

  Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani. Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko. Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi...
 12. Synthesizer

  Hivi bado Watanzania tunajidanganya mfumo wa siasa uliopo utadumisha amani na umoja wa kitaifa?

  Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
 13. kavulata

  Kwanini awamu ya 5 wagombea wa upinzani wakosee kujaza form za Uchaguzi?

  Vyama vingi vilianza mwaka 1992, katika kipindi chote hiki wagombea kupitia vyama vya upinzani wamekuwa wakijaza form za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia vyama vyao husika bila wagombea hao kuzuiwa Kwa wingi kugombea kutokana na fosari kwenye form za maombi. Nini kimetokea safari hii...
 14. J

  Je, baada ya wagombea wote kurudishwa Chadema na ACT watashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa?

  Lile swali dogo ambalo sijajua limeenda wapi sasa limekuwa swali la msingi. Je, Chadema watarudisha udhamini kwa wanachama wao waliorejeshwa kwenye uchaguzi? Maendeleo hayana vyama!
 15. C

  Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndio mtihani uliobaki kwa upinzani nchini

  Baada ya CCM na Serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka Serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.
 16. U

  Tuseme ukweli, kuna mahali viongozi wa vyama vya upinzani "wanalegeza kamba"

  Kazi kubwa ya kiongozi yeyeto yule ni kuhakikisha taasisi au watu anaowaongoza wanafikia malengo waliyojiwekea kwa asilimia zote. Kiaongozi asiye na uwezo wa kuweka malengo mahususi (specific objectives) na njia za kuyafikia (strategic plan) hana sifa za kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora pia ni...
 17. idawa

  Uchaguzi 2019 Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

  Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
 18. J

  Mzee Mgaya: Tukiua upinzani wa vyama vya siasa tutabaki na upinzani wa ndani ya CCM ambao ni hatari zaidi

  Vyama vya siasa vinavyojitoa kwenye uchaguzi vinaweza vikafa taratibu baadae na maana yake ni kuwa hapatakuwepo ushindani wa vyama, anaeleza mxee Mgaya. Kimaumbile binadamu anaishi kwa kufanya siasa na upinzani ni lazima uwepo hauepukiki, hivyo upinzani mpya utazaliwa ndani ya CCM kwa maana...
 19. Jp Omuga

  Upinzani mkitii maagizo toka juu mmekwisha!

  Kuna kila dalili kuwa punde si punde upinzani utaitwa kwa mwamvuli wa viongozi wa dini (yale mapandikizi). Lengo ni kuwarubuni ili wayakane matamko yao ya kususia uchaguzi! Ni hivi; upinzani mnatakiwa mjue kuwa wananchi wanawachora tu! Na siku zote wanalalamika kuwa vyama vyenu na imani...
 20. Erythrocyte

  Uchaguzi 2019 Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

  Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
Top