mtoni

Mtoni, Dar Es Salaam is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 47,952.

View More On Wikipedia.org
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Dola 10 Zilizotupwa Mtoni jasho la mtu haliliwi

    Salamu sio lazima twende moja kwa moja kwenye kisa Cha kweli chenye hekima kubwa👇 Zamani kidogo, kulikuwa na mzee mmoja tajiri na mchapa kazi aliyekuwa anamiliki mali na biashara nyingi. Alikuwa na mtoto mmoja wa kiume aliyekuwa mvivu sana, asiyetaka kufanya kazi yoyote na aliyekuwa anasubiri tu...
  2. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Ghorofa inauzwa, bei Tsh. Bilioni 1.3, ipo Mtoni Kijichi

    GHOROFA INAUZWA LOCATION MTONI KIJICHI BEACH ⛱️ DOCUMENTS HATI TITLE DEED VYUMBA 5 VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM BEI NI TSH 1.3b/- MAONGEZI YAPO UKUBWA WA ENEO NI SQM 2700 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  3. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa, ipo mtoni Kijichi, bei ni milioni 650

    6- ROOMS (4-MASTER BEDROOMS) MTONI-KIJICHI USHUANI GHOROFA INAUZWA BEI; MILLIONI 650 SQM 1.500 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #tiles #realestate #tanzania
  4. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania HOUSE FOR SALE,LOCATED AT MTONI KIJICHI,PRICE TSH 650M

    6- ROOMS (4-MASTER BEDROOMS) MTONI-KIJICHI USHUANI GHOROFA INAUZWA BEI; MILLIONI 650 SQM 1.500 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #tiles #realestate #tanzania
  5. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Maajabu Taarifa Rasmi ya Police Mwili uliokutwa ukielea mtoni maeneo ya jangwani aug.27 ukiwa kwenye mfuko, police yadai alikuwa akianguka kifafa!

    Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni!.. hii hapa chini ni taarifa rasmi ya jeshi la police juu ya uchunguzi wa tukio la mtu kukutwa akiwa anaelea ndani ya kiroba akiwa amefariki katika mto msimbazi maeneo ya jangwani... Polisi wanadai wameambiwa na ndugu wa marehemu kuwa marehemu alikuwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  8. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mtoni Kijichi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Kijichi • Facilities: Main house (4 bedrooms, 3 washrooms); 2 servants quarter • Plot Area: 3,800 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 450 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba master 2 na kawaida 2; ✓ sebule, dining, jiko, stoo, choo cha public, chumba cha kufulia...
  9. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Temeke Mtoni: 2 Apartments and 5 Frames For Sale - Dar

    • Direction: Kijichi Neluka • Facilities: (2 bdrm, 2 washrooms) x 2; 5 Frames • Plot Area: 400 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 150 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ apartments zinajitosheleza. Kila moja chumba master 1 na kawaida 1 ✓ kuna fremu za maduka 5 ✓ kwa mwezi apartment...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kibao cha Aziz Ally Mtoni na Historia Yake

    AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki." Kabla hajajenga nyumba yake mashuhuri ya Mtoni leo panaitwa Mtoni kwa Aziz Ali, Azizi Ali alikuwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania True story: Mzazi ukiogopa kumlipia mtoto ajifunze kuogelea chini ya uangalizi jiandae kwa lolote mtoto akienda mtoni / beach kuogelea bila uangalizi

    maji yana hatari lakini ni vema kuipunguza hatari hii kwa kujifuunza kuogelea, kuna watu wanakufa maji kwenye mafuriko kwa kushindwa kuogelea, meli zinpinduka ufukweni kuna abiria wanakufa maji kwa kushindwa kuogelea, watu wanaozama wanashindwa kuokolewa saabu anaeshuhudia hawezi kuogelea, n.k...
  12. Tanganyika1

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)

    Wadau maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024) Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea? Mashaka ni kwamba labda bomba au tank la mafuta limepasuka.
  13. Mkwaju Ngedere

    JamiiForums Tanzania Peter Kupaza na mauaji ya Mwivano Mwambashi, nini ilikuwa hatma ya kesi hii?

    Mwishoni mwa miaka ya 90 kulitokea kesi ya mauaji huko Baraboo Wisconsin iliyomuhusu Peter Kupaza ambaye alituhumiwa kumuua kisha kumchuna ngozi mpwa wake Mwinvano Mwambashi na baadae kuutupa mwili huo katika mto. Bahati mbaya sikuweza kupata hatma ya kesi hii baada ya mtuhumiwa kukata rufaa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

    Tumaini Luvanda (35) mkazi wa Dombwela wilaya ya Makete mkoani Njombe ameuawa kwa kukatwa na panga vipande kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na baadhi ya viungo kutupwa kwenye mto jirani na nyumbani katika eneo la Kabinda wilayani humo ambapo tayari Polisi inamshikilia Juma Kyando (36)...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tuna Dereva asiyeaminika wa Gari yetu TZ 1961, ila kwa Makondakta hawa 'Walafi ' anaowaamini atatutumbukiza tu Gari Mtoni tukafe

    Bahati mbaya GENTAMIYCINE nayajua Majina ya Makondakta kwa Herufi zao za mwanzo za Majina yao ya mwisho ( ubini ) pekee. Ni Kondakta A, Kondakta K, Kondakta N, Kondakta K, Kondakta M, Kondakta N, Kondakta C, Kondakta S, Kondakta M na Kondakta A. Kwa Nguvu Kubwa ya Ushawishi na hata Ubabe (...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke aliyeenda kutafuta pochi yake mtoni, mwili wake wakutwa kando ya mto

    Mwanamke mmoja ambae bado hajajulikana ameuliwa na watu wasiojulikana na kutupwa mto Themi akiwa bila nguo. Tukio hilo ambalo limezua taharuki miongoni mwa watu limetokea kata ya Sinoni katika mtaa wa onjavutian. Mwenyekiti wa mtaa wa onjavutian ambapo tukio hilo limetokea Lesioni Joseph...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Abdulghafar Idrisa Juma: Kampuni zikitaka kuungana na kuingia sokoni haitakiwi kuzidi asilimia 35 ya hisa. Nini kimewasahaulisha FCC?

    Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtoni kwa Azizi Ally; Brazil ndogo iliyojaa vipaji

    habarini wanajamvi ,naanza kwa salaam nyote humu naimani mpo njema. Katika majina yaliotajwa ya wazee waliosaidia ukombozi wa nchi hii basi jina AZIZI ALLY utolikosa kwa mchango mkubwa walioleta kulikomboa Taifa letu pedwa. Basi mimi ni mzaliwa wa TEMEKE sehemu iliyojaa waswahili wa kila...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

    Hii ni ile noah iliyozama ilikuwa na watu sita wawili wamepona, watatu wamepatikana wamefariki, mtoto mmoja hajaonekana sijui kapelekwa na maji hadi wapi ======= Watu wanne wamepoteza Maisha na wengine wawili kunusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya NOAH T 499 DMY kusombwa...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kutapisha choo choo za shule na kukimwaga mtoni ADHABU yake ni ipi?

    Jf, SALAAM! Yaani hapa KAKONKO mmiliki wa shule binafsi anaeonekana msomi anatiririsha choo kutoka shuleni kwake kwenda MTO MUHWAZI huku akijua maji hayo hutumiwa na wananchi wa Kijiji cha Muganza, Kanyonza, Kumwiyando, Kihomoka, na Ndabulibije!!! Kitendo hiki kimetukatisha tamaa kwa kuwa maji...
Back
Top Bottom