mapanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema. Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita. Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
  2. Poppy Hatonn

    Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

    Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza. Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine. Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu. I wish a Happy...
  3. DR Mambo Jambo

    Msaidizi wa Tundu Lissu acharazwa mapanga na watu wasiojulikana

    Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam juzi, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hii imekuja baada ya Tundu Lissu kutoa hotuba ya Muelekeo wa serikali ,Chama...
  4. Suley2019

    Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
  5. M

    Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
  6. Hismastersvoice

    Mgogoro wa wananchi na wafugaji wa Kimasai utafutiwe suluhu

    Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji. Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
  7. FRANCIS DA DON

    Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  8. BARD AI

    'Panyaroad' washambulia tena watu kwa Mapanga Dar

    Jeshi la Polisi mkoani hapa lina washikilia watu wanne kufuatia tukio la vijana wanaodhaniwa kuwa ni wa kundi la Panyarodi kuvamia makazi katika eneo la Bunju B Mtaa wa Idara ya Maji saa 8 usiku wa kuamkia Februari 10, 2023. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dr es Salaam, Jumanne Muliro amesema...
  9. R

    Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

    KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula. Kama habari...
  10. Roving Journalist

    Dar: Wahalifu wavamia mtaa, wapora mali & fedha, wapiga watu mapanga

    WATU watano wamejeruhiwa huku mmoja akiwa mahututi baada ya kundi la vijana kuvamia mtaa wa Tagusako, Tabata jijini Dar es Salaam, kupora mali na fedha taslimu." Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, mashuhuda na viongozi wa mtaa huo, walisema vijana hao wakiwa na silaha za jadi...
  11. Bushmamy

    Kilimanjaro: Kijana awakata mapanga na kuua mke na mume akiwatuhumu kwa uchawi

    Kijana mmoja mkoani Kilimanjaro, kutoka kijiji cha Manushi kati anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya mauaji ya baba yake mkubwa aitwae Mushi pamoja na mkewe. Mauaji hayo yametokea leo siku ya Jumanne majira ya saa kumi jioni baada ya kijana huyo kuvamia nyumbani kwa wanandoa...
  12. JanguKamaJangu

    Kisarawe: Watu 8 wavunja nyumba saa nane usiku, wabaka, waiba na kujeruhi kwa mapanga

    Kundi la watu wanaokadiriwa kuwa 8 usiku wa kuamkia Juni 4, 2022 wamevunja nyumba moja iliyopo Mtaa wa Bomani Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani na kufanya ukatili wa kubaka, kuiba vifaa vya ndani na kujeruhi kwa mapanga na kutokomea kusikojulikana Wahalifu hao walifunga komeo kwa nyumba za...
  13. Joseverest

    Familia sita zavamiwa, wanne wajeruhiwa kwa mapanga Dar

    Dar es Salaam. Familia sita zinazoishi mtaa wa Kwembe Mpakani jijini hapa, zimevamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa na mapanga nondo na mawe kisha kuwajeruhi watu wanne na kupora vitu mbalimbali. Tukio hilo la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia juzi ambapo vijana zaidi ya kumi...
  14. Idugunde

    Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
  15. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  16. Roving Journalist

    Diwani Ileje anusurika kipigo cha wananchi kisa ujenzi wa kituo cha afya, mgambo akatwa Mapanga

    DIWANI ILEJE ANUSURIKA KIPIGO CHA WANANCHI KISA UJENZI WA KITUO CHA AFYA,DC AFIKA NA KUZOMEWA, MGAMBO Akatwa MAPANGA. Diwani wa kata ya Ndola Mhe Bahati Kyomo amenusurika kupigwa na Wananchi wa Kijiji cha Ishenta kilichopo kata ya Ndola Wilayani Ileje kutokana na Wananchi kutaka kituo cha Afya...
  17. Kulupango

    Wapi nitapata haya mapanga

    Mapanga marefu yenye makali pande zote, yanahifadhiwa kwenye pochi lake
  18. Miss Zomboko

    Shinyanga: Acharangwa Mapanga akituhumiwa kumuua Baba Mkwe kwa Uchawi

    Mwanamke aitwaye Limi Kulwa (30) ameuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani, usoni, na mikono yote miwili katika kijiji cha Ilunga, kata ya Iyenze, Manispaa ya Kahama mkoa wa Shinyanga akituhumiwa kumuua kwa kumroga baba mkwe wake aitwaye Lusana Kulwa (60). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  19. Kitoabu

    Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
Back
Top Bottom