vyanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa fedha SADC wajadili vyanzo vya kuongeza bajeti

    Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09, 2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika. Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Uhalifu wa nchi nyingi zilizoharibikiwa Duniani umeanzia kwenye Mitandao ya Kijamii

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia. Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Jaji Warioba amesema kufanya vurugu wakati wa Cristmass ni uhaini wa imani za wengine, Mange na Maria walitaka kumpa pesa achochee vurugu

    Wakuu kuna hizi nukuu nimekutana nazo kumuhusu mzee wetu Jaji Warioba, Je ni za kweli ama janja janja.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuna vyanzo vingi vya maji ila mawaziri wanakwambia kisingizio mvua 😁

    Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha. Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka kuna kila kitu. Nchi yetu ndio ufahamu pesa zinaingizwa mfukoni na mpaka leo bila msaada wa wale...
  7. Chibike

    JamiiForums Tanzania KERO Angalia vyanzo vyote hivi vya maji, na wananchi wa Morogoro wanateseka na maji. Hii nchi ina akili?

    Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito Midogo: · Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi. · Mito ya Uluguru (kama...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania RC Kilakala aonya wanaoharibu vyanzo vya maji Morogoro

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, ametoa wito kwa wananchi kuacha mara moja kufanya shughuli za kibinadamu kama vile uchenjuaji wa madini na kilimo karibu na vyanzo vya maji, ili kuepusha madhara ya mafuriko yanayolikumba eneo hilo mara kwa mara. Akizungumza Oktoba 15, 2025 wakati wa...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania ARV za kutwa kwenye vyanzo vya maji south afriy

    I will be short South Africa maji ya bomba na mito ni mwendo wa kunywa ARV TU.
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vya ubovu wa Magari Tanzania na Suluisho l

    Vyanzo vya Ubovu wa Magari Tanzania na Suluhisho Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la magari barabarani nchini Tanzania. Hili ni jambo linaloashiria maendeleo, lakini pia limeambatana na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa ni ubovu wa magari. Watu wengi wanapambana na magari...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kauli ya GL kuhusu Jamaa ilinipelekea kuzama vyanzo vyangu nikajua ndo basi na machozi yalinitoka, ulale pema

    Uwa sometimes sileti taarifa hovyo hovyo na siku ile naleta sijashtuka maana nilijiandaa kisaikolojia muda mrefu. Na nakumbuka GL alisema siku ileile kuwa ikiwa ndio mara ya mwisho kumuona jamaa basi watakutana siku ya mwisho. Kauli Ile kwangu ilitosha kunijulisha kuwa ni mwisho wa mwenzetu...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran yaendelea kupoteza vyanzo vya Mapato!!!

    Iran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani. Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit: Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika ka

    Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025 Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika. Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina: Tutumie vyanzo vipi vya nishati...
  17. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

    WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana. Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na Mkenya kwa Marekani ni zaidi ya ndugu. Sasa katika pitapita zangu kuna sehemu huwa naenda kupata...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vya Udumavu wa Siasa Nchini

    BAADHI YA VIONGOZI WASHIRIKINA WENYE MACHO YA KICHAWI NDIYO VYANZO VYA UDUMAVU WA UTAWALA BORA NCHINI . Nakumbuka Tarehe 02/01/2025 Askofu Mkuu Jimbo katoliki la Dar es salaam Baba Mhashamu Thadeus Ruwa'ichi Alisema Ni lazima tuelewe ( Yesu aliposema) kukaa katika nyumba ya Baba ni kitu gani...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Sasisho la mazungumzo ya kusitisha mapigano: Kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV: ➤ Hamas imewasilisha Misri orodha ya wafungwa ambao wataachiliwa katika awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. ➤ Maelewano yamefikiwa kuhusu pointi na maeneo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
Back
Top Bottom