binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. min -me

    JamiiForums Tanzania Binti yangu hakutaka kuwa atheist kama mimi

    Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

    Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao. Kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 15 anaruhusiwa kuolewa, kwanini haruhusiwi kupiga kura?

    Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayemuongoza kwa miaka mitano?? .
  4. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kafara ya binadamu katika Biblia. Yeftha akimtoa binti yake sadaka ya kuteketezwa kwa mungu.

    Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa. Binti yake alikuwa wa kwanza...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz na Zuchu waonyesha sura ya binti yao Sandrah (Sanura)

    Wasanii Diamond Platnumz na Zuchu, wamezidi kuvuta hisia za mashabiki wao kufuatia hatua yao ya hivi karibuni ya kuchapisha picha mpya za mtoto wao wa kike, Sandrah Nasibu Issac. Tofauti na awali ambapo walikuwa wakitumia emoji kuficha kabisa sura yake kwenye mitandao ya kijamii, picha za hivi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu mchukulieni hatua mwalimu Shabani kwa unyanyapapaa kwa sikieni kilicha binti yangu Ngeruke Kondo

    Dah Mwalimu Shabani hivi wewe na binti yangu mna ugomvi gani usio fika kikomo? Kuna vitu vingi binti yangu huwa analalamika mfano huwa unamlazimisha kununua ubuyu na visheti vyako. Binti yangu hata akimaliza kazi zake kwa wakati na kwa usahihi unatafuta sababu zisizo na kichwa wala miguu na...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti Yangu; Huwezi kuwa Mchepuko kama sio Malaya. Kila mchepuko ni Malaya

    BINTI YANGU; HUWEZI KUWA MCHEPUKO KAMA SIO MALAYA. KILA MCHEPUKO NI MALAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mkali. Wala sitakuonea aibu binti yangu. Nitakuambia Ukweli wote. Ni kweli kabisa, hakika. Pasipo na shaka kwamba. Mwanamke yeyote ambaye ni Mchepuko huyo ni Malaya. Wala hakuna...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana adaiwa kutekwa na wasiojulikana kwa kumkasirisha binti wa kigogo katika mapenzi!

    Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aliyemshambulia binti kwa fimbo Katoro atiwa mbaroni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Jackline Peter, mkazi wa Mji Mdogo wa Katoro, Wilaya na Mkoa wa Geita, kwa tuhuma za kumshambulia kwa kutumia fimbo Rahel Jumanne, aliyemtuhumu kumwibia fedha zake. Tukio hilo la kikatili lilitokea Agosti 26 2026, majira ya saa 5.00 asubuhi, nyumbani...
  12. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Huenda Binti ya Herode hakumaanisha kichwa kama kichwa

    Sema huenda ni kweli an empty mind is a devil workshop 🤣🤣🤣😇.. Sasa juzi kati nikawa napitia pitia ki bible kidogo kile cha agano jipya ,nikawa nakisoma kisa cha yohana mbatizaji (math14:1-12 na marko6:14-29). Kisa kizima kama nilivyokisoma ni kwamba wanawake (Binti Herode na mama yake yaani...
  14. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwa kumkataa kiongozi wa kanisa, binti yangu kafukuzwa kanisani na kusingiziwa wizi

    Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye. Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.
  15. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Picha ya wakati Isaya Yunge akimvalisha pete binti wa Ruto

    Nataka kuona Yunge anamvalisha Charlene pete nani alipiga magoti? Au wote walikuwa kama kambale?
  16. Huihui2

    JamiiForums Tanzania GeorDavie kwenye kashfa nyingine ya ngono na uchawi na binti wa kizungu

    Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge, Kijana kutoka Mwanza, anamuoa binti wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, Hii hapa Cv Yake

    Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanahabari: Ni marufuku kusema, "kijana na binti..."

    Nijuavyo kijana anaweza kuwa wa kike au wa kiume. Hivyo, ni marufuku kusema, "kijana na binti...", kutaka kulazimisha binti asiwe miongoni mwa vijana! Mara utasikia, "kijana ambaka binti...". Vijana waaswa kutooa mabinti wenye watoto..." "Binti usitikise sana makebo upitapo mbele ya...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanaume akuumize binti mrembo kama wewe😏

    hii kauli imeharibu mahusiano ya wanawake wengi na kuwatoa kabisa kwenye ramani..
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaolipa mamilioni kusomesha watoto EMS mmesikia kilichomkuta huyu jamaa kwa binti yake?

    Habari ndugu yangu, Kuna hizi meseji Kanitumia Mdogo Wangu Jana asubuhi, kitu kizuri nilikuwa online muda huo nilicho fanya niliscreenshort haraka na nikasevu na video kabisa, baada ya dakika tatu alifuta. Baada ya kufuta na Mimi nilitulia Wala sikumtafuta na yeye akawa kimya tu, ila ilivyo...
Back
Top Bottom